PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mjinga uyo hana data, Hakuna Iyo hela kwenye iyo wizara
 
Jamaa kweli kilaza aisee. Hivi anajua tilioni 13 na pesa kiais gani? Si zingejenga asgr fasta. Hata wizara ya afya sidhani kama imepata kiaso hicho cha pesa kwa miakaya yote 4.
 
Aisee so Sad. Itabidi aende kwenye media hiyo hiyo aombe radhi na kurekebish figure hiyo haraka sana.
 
Amechelewa kusanuka huu ni wakati wa YAS,hawezi kupata nafasi ya mwanafalsafa
 
Upuz mtupu,kwa hyo wabongo mambo ya usanii ndy mmeona jambo muhimu sana kuliko afya nk
Nchi ya ki kbs

Ova
 
Reactions: K11
Reactions: K11
Wakuu!

Rais Samia ametoa zaidi ya TSh Trilion 13 kwa ajili ya maendeleo ya sanaa! Rapa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki, Farid Kubanda maarufu Fid Q amefunguka kuhusu pesa hizo akihojiwa na Clouds Media.

Your browser is not able to display this video.
 
Maji bilioni 600 wewe ni kiazi kuliko huyu Fid Q

USSR
 
Kwamba Wacheza sebene wame pewa bajet kubw akuliko wizara za maana
 
Fid naye ameanza uchawa lini?!
Til 13 kwa 4yrs au hajui hesabu!
 
Kumbe hili ni lijinga hivi. Tril 13 Anaitamka kama Anakunywa mabangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…