PreGE2025 Fid Q: Rais samia ametoa Trilioni 13 kwa maendeleo ya muziki na sanaa Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Itoshe kusema uelewa wa huyu Fareed upo ghorofa tamka (horofa) ya chini mnoooo.
 
Jmn msione watu kwenye nyimbo zao wanaonyesha ugumu ,wanakaza sana ila kwa field na real life mambo ni tofauti
 
Inahitaji Degree ya mtaa kuelewa anachosema... Maana halisi ya kuweka kipsji kwapani na kugeuka chawa.
 
 
Hivi huyu ndio aliandika ngoma kama
Ielewe mitaa
Neno
August 13
Professional
Sumu
Roho
Vina mwanzo,kati na mwisho
Ripoti za mtaa
Etc...

Alikuwa anaandikiwa nini, mbona akili haireflect kile.
 
Nimemshusha vyeo rasmi!’nilikuwa nasikiliza ngoma zake apa ngoja nizifute..
 
Aliyempa hiyo script mwambie arudie kumkalilisha.

Bajeti ya Wizara ya habari, Sanaa na michezo haijawahi kuvuka bilioni 690

Kwa miaka minne ya Uongozi wa Rais aliyepo madarakani, roughly inakuwa ni almost trillioni 2.7

Sasa hizo Trillioni 13 anazosema Bwana Fid Q zimetoka wapi?

To be honest, hii Nchi tatizo kubwa tulilonalo ni Ujinga

Vitu vidogo kama hivyo tunashindwa kuwa na uwezo wa kuhoji

Msanii Mkubwa unamezeshwa taarifa za uongo nawe unazibugia na kwenda kuzisema Kwa watu kama zilivyo 🙌

Tuendelee kusomesha watoto wetu, nina imani miaka 100 ijayo hakutakuwa na Wajinga wengi kiasi hiki
 
Kwa akili na mawazo ya vijana na chawa wa ccm kwa namna hii
inabidi tuwaonee huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…