Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

Hii kakopi kwenye hiyo mistari ya kingereza pia????[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu fanya hivi I edit hii post kisha weka nyimbo ambayo fid amekopy hii mistari. Naona una strong case
 
Nenda kasikilize mixtapes hizi JOGOO
BY NIKKI MBISHI , SOGA ZA MZAWA BY ONE NA AFRICAN SON BY STEREO kisha ulete mrejesho
Ebwana wee..

One au Moko wa Miujiza kwa Upande wangu ni moja ya watu bora kabisa kwa sasa katika utunzi wa Mashairi.

Wengine humfananisha na Hashimu dogo.

One katika Uandishi nampa yangu namba moja.

"Maisha bora ndio salamu ya Mnyanganyi."

a)Hii ni siri yenye laana kama tupu ya mzazi,

Kwa roho Mkunjufu sitoruhusu utunduwazi,

Sizungumzi na Mwana na Zungumza na mzazi,

Huu uzungu wa kuuzana kama ruzuku ya Jambazi,

Zunguka hakuna Rafiki kama noti,
Sista hakuna mnafiki kama shosti,

Nikki Mbishi yupo vyema karibia pande kona zote za hip hop Wengine humuita G.O.A.T (Greatest of All the Time) lakini katika Uandishi nadhani hapa One anamuacha.


Stereo yupo vyema pia.

"Kata pochi upate penzi hauna Kula uchochoro,
Utafanyiwa ushenzi kila unaporudi mgogoro,
Pigana na hela kisela maneno sio pungufu,"
 

kwani haiwezekani fid q ndio aliwapa hao watunzi wa vitabu hayo mawazo?

unajuaje uhusiano wao?

hata kama...hakuna kosa,

wivu wivu......
 
Reactions: Pep
Ww n mpuuzi wa kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"me ni high level,sio high level ndo mana hunioni,wulize wenzako fid q yuko juu zaidi yako homi"

Yuko juu sijui atambana kama kizibo cha soda, kushuka ngazi tu unahema, Je kuzipanda hupati uwoga?

Mleta uzi ana Chuki za kifala sana
 
Hizi za kuandika hatukopi kwenye vitabu..Joh Makini kwenye byebye
Wazee wa Mwanza Mwanza na wavivu wakusoma huwa wanamuona jamaa kama ni kichwa sana.
Ila yupo kwenye level ya kawaida sana kuna viumbe wanaandika wewe.
 
Ukijikuna tackle usikate kucha kwa meno amekopi kwa martin luther king junior
 
westlife- I have a dream ni wimbo wa ABBA

UB40- I cant help you to fall in love ni wa ELVIS PERSLEY

UB40- nyimbo zao nyingi zilishaimbwa kitambo
 
Gazeti lote hili kwa hiyo quote moja tu? hebu toa hoja za maana ili hata sisi tunaomwamini na kumsikiliza tubadili mawazo... kwa nnavyojua mimi reference kwenye nyimbo za Fidi ni kama 15% tu others ni mawazo yake mwenyewe na utunzi wa fasihi ulio imara Umeignore 85% kwa ajili ya15%? you are a hater bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…