Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

Anafanya makosa .huo ni wizi kama wizi mwingine. Atoe mawazo yake binafsi hayo ya kwenye vitabu awe anayazungumzia wakati wa interview au awe na yeye aandike vitabu then awe ana wa quote humo kwa sababu ni rahisi
Acheni ungese quotes zipo nyingi sana zimebandikwa kila sehemu na zinatumiwa na kila mtu its just a sign of appreciation... hata waliozitamka walijikuta wanatamka tu maneno konki bila kutarajia na yakaishi hadi leo hiyo ndo tafsiri ya quote sasa vp ww unaleta habari zako hp if u hate bro? hate in silence sio hadi kila mtu ajue
 
That's not hip hop bro. Hip hop is real.Tell us what u have experienced in real life. Tunataka kujifunza kutoka kwko sio kutoka kwenye vitu ulivyo visoma
kwahiyo mistari ya fidi mingine wewe hujaona kitu real
 
Punch za fid q zote ni copy hili unaweza kuliona kirahisi,hawezi kuimba bila kusoma.

Hii ni sababu kubwa pia hawezi fanya free styles.
still anachofanya ni fasihi na itaishi miaka mingi hana tofauti na mwandishi wa vitabu
 
mi binafsi namshkuru fid maana bila yeye kuna misemo mingi sana nisingekaa kuisikia maishani mwangu.. hivi na ule mstari, "Ukijikuna tako uskate kucha kwa meno" nani aliuanzisha?
 
Considering the day this thread was posted, I know I am a tad late but I need to have a chitchat with my my friend, LIKUD.

Likud, I have been watching your threads closely and two things have been clear to me: First, You are a die hard fan of Joh Makini and his battalion - Weusi, which leads to the second observation I made: You hate those who prove to be good than your line of the music you like.

Anyways, let's not get into that. The reason i replied was to let you know you are a liar. Fid Q has been acknowledging, in a loud volume, those from whom he takes his lines. For example, in most of his interviews he says that he reads books a lot and books are where he comes with his lines. To prove that, in his song titled "kiberiti" he clearly mentioned what book he had referred to make most of the song. It is either you hate him or you are too ignorant to understand what he answers when he is interviewed.

Stop preaching this rubbish.!
 
Kwenye wimbo "Ni hayo tu" Fid Q anasema "anaweza kufanya madawa yakaugua". Nimekuja gundua majuzi tu kuwa ni maneno ya Muhammad Ali "I'm so mean I make medicine sick"
 
mtaani tena zamani sana miaka ya 2000

Yaani wewe kusoma kitabu kimoja na kukuta iyo kauli ukajua ndo yake

kasome kitabu cha misemo ya kichina na maana zake utaikuta iyo kauli pia
kinaitwaje hicho kitabu?
 
Tukukumbushe movie Kali nyingi zimetoka kwenye vitabu vya watu, Kwa hiyo sio kitu cha kusumbua akili, na hata fashion za nguo na viatu unazoziona sasa hivi ni copy ya fashion za zamani.

Na kingine, wanamuziki wanosifiwa Kwa kucheza sasa hivi wote ni copy ya Michael Jackson na malegendary wengine wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…