Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Ndio ndio hawezi kabisa
Kabisa nadhani ndo sababu jamaa hawezi kufanya free style
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa nadhani ndo sababu jamaa hawezi kufanya free style
kuna ajali mbaya sana iliwahi mtokea,akanusurika kupona ,tangu siku hiyo akasema hatokaa amiliki gariKisanga gani?
Anafanya makosa .huo ni wizi kama wizi mwingine. Atoe mawazo yake binafsi hayo ya kwenye vitabu awe anayazungumzia wakati wa interview au awe na yeye aandike vitabu then awe ana wa quote humo kwa sababu ni rahisiukitaka mficha muafrika weka ujumbe kwenye kwenye kitabu.Jamaa na mpenzi sana wa vitabu ,ndo ndo uko anakopata vya kuweka kwenye nyimbo zake
Acha wivu, chuki na roho mbaya, duniani hapa hakuna kitu/jambo jipya, yote yalishafanywa/semwa na watu wengine na yapo katika machapisho mbalimbali. A good thing ni kusoma machapisho na vitabu ili upate maarifa na kuyatumia katika jamii inayo kuzunguka kuburudisha, elimisha na kukosoa inapobidi. Acha wivu wa kike we jamaa Fid Q ni msomaji mzuri wa machapisho mpe pongezi anazostahili.Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo au kusoma kitabu halafu akipata wazo zuri ndani ya kitabu hicho anacho kifanya ni kulitafsiri na kulifanya kama wazo lake.
Mfano kwenye wimbo mmoja wa Fid kuna mstari anasema " Maisha ni kama kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea'
Hii amecopy kwa MTU mmoja anaitwa Peace Pilgrim ambae nukuu yake inasema " Life is like a mirror if you smile at it it smiles back at you'
Nyimbo nyingi za huyu jamaa ni tafsiri ya mawazo ya watu wengine
Jambo linalo mfanya kuwa mfalme wa plagiarism Tanzania
Plagiarism ni kitendo cha kuchukua wazo la mwandishi mwingine.na kulipresent kana kwamba ni wazo lako bila kumu acknowledge muasisi wa wazo hilo.
Kwa nchi za wenzetu ambao wanalinda na kuthamini kazi za fasihi, Fid angekuwa ana rot in jail this time cause wahusika lazima wange msue na kwa kiwango cha idadi ya mistari aliyo iba kwa waandishi wengine sidhani kama angeweza kuwalipa, mwisho wa siku angeishia kuwa civil prisoner.
Katika ulimwengu wa kiroho anacho kifanya fid q ni kutembelea nyota za watu.
Kwa sababu nyota ya MTU INA include akili yake pia.
MTU amebuni wazo lake Wewe umelichukua na kulifanya wazo lako na ukapewa sifa na watu wengine wakiamini kwamba Wewe ndio uliw toa wazo hilo. Hapo maana yake ni kwamba unakuwa unatembelea nyota ya Huyo ambae umeiba wazo lake.
USHAURI WANGU KWA FID Q
Its high time now uanze kutumia mawazo yako Wewe mwenyewe ili tuweze kukutofautisha na kukushindanisha na artist wengine ambao wanafanya muziki kama Wewe.
Siwezi kukushindanisha na MTU kama Joh Makini au Nilki Mbishi kwa sababu wenzako wapo real na Wewe unatumia mawazo ya watu wengine . Yaani ntakuwa nawashindanisha na hao watu ambao una wa copy something which is not fair.
JUST BE REAL LIKE OTHER HIP HOP ARTISTS :
Mfano Babuu kwenye ngoma yake Kimbia kuna sehemu anasema
" POLISI NI MSHKAJI UKIWA NAE KITAANI, UKIFIKA KITUONI ANAKUACHA KAMA HAKUONI" Huu ni mstari ambao unarelate na uhalisia, ni filosofi na ufundisha. Hata mtoto atakae zaliiwa mwaka 2050 akiusikia huo mstari atauelewa na utamuhusu.
Anaweza kuwa ameimba kitu cha kawaida sana ( kwa viwango vyako ) lakini ni wazo lake mwenyewe.
Hujawahi kumsikia Chindo Man kwenye wimbo wa JCB feat Arusha All Stars akisema " TORATI YA STREET INASEMA USIWE FALA" Kwanini na Wewe usianze kuandika track zinazo tokana na utunzi wako mwenyewe?
Matter fact hiyo line ya Chindo hata Wewe inakuhusu kwa sababu kilichosemw na Babu Tale na Fella juzi kama ni kweli basi Wewe ni fala kweli coz kutokuwa na hela ni ufala kama alivyosema Mzee Upako.
Leave Mzee wa Upako aside Mzee upo kwenye game kwa miaka kumi na tano and huna hata gari na unalelewa? Kama ni kweli bro ufanyie kazi huo mstari wa Chindo
Mifano IPO mingi sana. Badilika and be real.
WATZ SIKU HIZI WAMEANZA KUSOMA VITABU..DONT THINK THEY DONT UNDERSTAND
That's not hip hop bro. Hip hop is real.Tell us what u have experienced in real life. Tunataka kujifunza kutoka kwko sio kutoka kwenye vitu ulivyo visomaAcha wivu, chuki na roho mbaya, duniani hapa hakuna kitu/jambo jipya, yote yalishafanywa/semwa na watu wengine na yapo katika machapisho mbalimbali. A good thing ni kusoma machapisho na vitabu ili upate maarifa na kuyatumia katika jamii inayo kuzunguka kuburudisha, elimisha na kukosoa inapobidi. Acha wivu wa kike we jamaa Fid Q ni msomaji mzuri wa machapisho mpe pongezi anazostahili.
Once again I'm telling you this chief, nothing new in this universe, kazi ya sanaa ni pamoja na kutafsiri maneno magumu kwa lugha rahisi ili yaeleweke kwa wanaotaka kuelewa.That's not hip hop bro. Hip hop is real.Tell us what u have experienced in real life. Tunataka kujifunza kutoka kwko sio kutoka kwenye vitu ulivyo visoma
ile ngoma Fid alisanda, akakimbilia kufanya chorus. One, Nikki, na stereo wale ni mafundi wakuu.Umenena vyema mkuu vichwa maji watakubishia...
Nakumbuka hata ule wimbo wa classic material aligoma kuweka verse zake kwasababu alikua hajajipanga pakucopy Punch, akaona kabisa moko wa miujiza,unju bin unuki na singa singa watamwaibisha akabaki kupiga chorus tu
Nakumbuka kuna msemo mmoja alikuwa anaupenda sana mwalimu wangu wa kishwahili naye aliutoa kwenye kitabu nimekisahau s "akupigae ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio" nikaja kuukuta kwenye ngoma ya Fid Q ile ya kwanza kabisa...watoto wadogo naonutawaskia fid q....Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo au kusoma kitabu halafu akipata wazo zuri ndani ya kitabu hicho anacho kifanya ni kulitafsiri na kulifanya kama wazo lake.