Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

ukitaka mficha muafrika weka ujumbe kwenye kwenye kitabu.Jamaa na mpenzi sana wa vitabu ,ndo ndo uko anakopata vya kuweka kwenye nyimbo zake
 
ukitaka mficha muafrika weka ujumbe kwenye kwenye kitabu.Jamaa na mpenzi sana wa vitabu ,ndo ndo uko anakopata vya kuweka kwenye nyimbo zake
Anafanya makosa .huo ni wizi kama wizi mwingine. Atoe mawazo yake binafsi hayo ya kwenye vitabu awe anayazungumzia wakati wa interview au awe na yeye aandike vitabu then awe ana wa quote humo kwa sababu ni rahisi
 
Acha wivu, chuki na roho mbaya, duniani hapa hakuna kitu/jambo jipya, yote yalishafanywa/semwa na watu wengine na yapo katika machapisho mbalimbali. A good thing ni kusoma machapisho na vitabu ili upate maarifa na kuyatumia katika jamii inayo kuzunguka kuburudisha, elimisha na kukosoa inapobidi. Acha wivu wa kike we jamaa Fid Q ni msomaji mzuri wa machapisho mpe pongezi anazostahili.
 
That's not hip hop bro. Hip hop is real.Tell us what u have experienced in real life. Tunataka kujifunza kutoka kwko sio kutoka kwenye vitu ulivyo visoma
 
Ndyo maana nilishaacha kuishabikia bongo flavour kitambo sana!
 
That's not hip hop bro. Hip hop is real.Tell us what u have experienced in real life. Tunataka kujifunza kutoka kwko sio kutoka kwenye vitu ulivyo visoma
Once again I'm telling you this chief, nothing new in this universe, kazi ya sanaa ni pamoja na kutafsiri maneno magumu kwa lugha rahisi ili yaeleweke kwa wanaotaka kuelewa.

Fid Q anafanya vizuri kwenye game ndo maana yupo kitambo, hii ni kutokana na kusoma machapisho na kupata maarifa zaidi. Wangapi walikuepo na pengine walivuma pamoja na akina Fid Q toka enzi hizo ya zaidi ya 15 good years na huwasikii tena? Mfano Lucky Dube once said in one his song; “Not every BLACK MAN IS MY BROTHER and not every WHITE MAN IS AN ENEMY ” si kila mmoja wetu ataelewa haya, na haya maneno yalikuepo toka enzi na enzi, sasa Fid Q akitaka kuyatumia na kusema hivi; “Si kila mtu mweusi/muafrika ni ndugu yangu na Si kila mtu mweupe/mzungu ni adui” ungependa am-acknowledge nani hapo?
 
ile ngoma Fid alisanda, akakimbilia kufanya chorus. One, Nikki, na stereo wale ni mafundi wakuu.
 
Fact
Na kuchukua mawazo ya wengine sio dhambi ila anapitumia kazi za watu anatakiwa afanye acknowledgement
 
Fid nimsanii mzuri, anjua kupanga mashairi, kuchagua beats nzuri pia anajua kulisoma game vizuri nakutupatia kile kitu mashabiki tunataka kwawakati ndio maana ameweza kumaintain kiwango kwamuda mrefu huu ndio ukweli yani uupende usiupende ndio ipo hvyo.

Lkn kwa upande wapili wa shilingi mtoamada unapoint, yawezekana unapoint nzurisana. Maana kama niswala la kuchukua quote za watu nakuziungaunga nakutoa verse baadae mistari nikweli nimeliona my be ndio sababu anaachia ngoma 2 kwa mwaka. Ofcoz sikuwahi kuwanza kama anacho kifanya kwenye mistari yake ni plagiarism napia bado sijathibitisha, lkn mkuu tatizo limekuja baada yakushindwa kubalansisha uzi, dizaini kama umeweka zaidi sijui chuki au ushabiki hilo mimi sijui.

All in all nadhani ungebalansisha uzi wananzengo wangekuelewa, hata wale die hard fanz wa fid kunakitu wangetokanacho
 
Nakumbuka kuna msemo mmoja alikuwa anaupenda sana mwalimu wangu wa kishwahili naye aliutoa kwenye kitabu nimekisahau s "akupigae ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio" nikaja kuukuta kwenye ngoma ya Fid Q ile ya kwanza kabisa...watoto wadogo naonutawaskia fid q....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…