Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Itachungwa vipi amani na ni kanisa katoliki ndilo linalouvuruga Zanzibar kwa kutaka kuuondosha uislamu kama lilivyoumaliza uislamu huku Tanganyika

Soma kitabu cha Padri Sivalon ameeleza dhamira za kanisa kwa zanzibar
Ni baada kushindwa na mbinu zote hizo chafu kupanua ukafiri visiwani, Kanisa limeamua kuwapeleka Waumini wao kutoka Tanganyika na kuhamia visiwsani chini ya kipengele cha mtanzania anahaki ya kuishi popote pale Tanzania. Lakini hilo halitoshi ikalazimishwa kwenye katiba ya Zanzibar kuwepo na kipengele kuwa Mtanganyika akitimiza kuishi miaka kumi atakuwa na haki ya kuitwa eti mzanzibari na hivyo kuongeza utitiri wa ukafiri visiwani. Hapo kabla ndani ya Katiba imeeleza kuwa mzanzibari ni lazima mtu awe amezaliwa visiwani au mmoja wa wazazi wake awe amezaliwa Zanzibar.
 
Huu uzi unafaa kufutwa ni wakichochezi na umejaa ubaguzi wa aina zote
Kama mapinduzi yenyewe yalivyokuwa! Huwezi kuuficha ukweli daima na milele.Ukweli ulifichwa kwa muda mrefu, banda la farasi sasa lazima lifunguliwe, na farasi atoke. Ni uhaini gani aliouendeleza Okello hata kufikia uamuzi wa kufutwa uwepo wake katika historia wakati ndie aliokuwa muasisi wa mapinduzi kama alivyofanyiwa Moses na utawala wa Firauni. Lakini leo ambo yameanikwa kweupe. Tusiwakoseshe watoto wetu uhondo wa kuijua historia ya nchi yao iwe nzuri au mbaya. La msingi kama lipo jambo la uongo katika yalioelezwa na halikufanyika na una ushahidi wenye afya basi uwasilishe na hivyo utakuwa umewatendea haki wana Majlis.
Lengo la huu Uzi n nn
Lengo liko waziwazi kwa anaetaka kuelewa na kuheshimu maoni ya mwengine,mie sina hiyana na kukumbusha:Je,Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari?
 
Kama mapinduzi yenyewe! Huwezi kuuficha ukweli daima na milele.Ukweli ulifichwa kwa muda mrefu, farasi sasa lazima afunguliw e hata kufikia muasisi wa mapinduzi kufutwa kabisa kwenye historia kama alivyofanyiwa Moses na utawala wa Firauni. Lakini leo yako kweupe. Tusiwakoseshe watoto wetu kuijua historia ya nchi yao iwe nzuri au mbaya.La msingi kama lipo la uongo halikufanyika na una ushahidi wenye afya basi uwasilishe na hivyo utakuwa umewatendea haki wana Majlis.

Lengo liko wazi wazi kwa anaetaka kuelewa, mie sina hiyana na kukumbusha:Je,Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari?
Nimekuelewa mkuu sasa huu mzozo unatoka wap humu
 
Itachungwa vipi amani na ni kanisa katoliki ndilo linalouvuruga Zanzibar kwa kutaka kuuondosha uislamu kama lilivyoumaliza uislamu huku Tanganyika

Soma kitabu cha Padri Sivalon ameeleza dhamira za kanisa kwa zanzibar

Duh kwahiyo Tanganyika yote wagalatia siku hizi.
 
Duh kwahiyo Tanganyika yote wagalatia siku hizi.

hivi huoni watu wameanza kutolewa mpaka machoooo, au mpaka uambiwe mimi ni muislamu au mkristo ???

Unafikiri Dar es Salaam ilikuwa hivyo kabla kuja ukristo hapo???
 
hivi huoni watu wameanza kutolewa mpaka machoooo, au mpaka uambiwe mimi ni muislamu au mkristo ???

Unafikiri Dar es Salaam ilikuwa hivyo kabla kuja ukristo hapo???

Duh ni kweli nasikia siku hizi watu wanakatwa vichwa kama Mbuzi kwasababu hiyo ni kazi mojawapo ya kumuenzi Mungu mpenda damu za watu.
 
Duh ni kweli nasikia siku hizi watu wanakatwa vichwa kama Mbuzi kwasababu hiyo ni kazi mojawapo ya kumuenzi Mungu mpenda damu za watu.

MCHUNGAJI WA KANISA AKAMATWA NA VIUNGO VYA ALIBINO

POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu wawili wakazi wa Kijiji cha Idweli, Kata ya Iyula, wilayani Mbozi, akiwemo mchungaji wa Kanisa la Pentekoste kwa tuhuma za kupatikana na viungo vya albino ambavyo vilikuwa vikiuzwa kwa Sh30milioni.

Tukio hilo linalomhusisha mchungaji, limekuja wakati nchi ikiwa katika kampeni ya kupambana na ukatili dhidi ya maalbino, ambayo hupewa msukumo pia na viongozi wa dini mbalimbali.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Zelothe Stephen alisema mtuhumiwa mwingine ni mkulima wilayani Mbozi.
Kamanda huyo alisema kukamatwa kwa watuhumiwa kulikuja wakati wakihaha kusaka wateja katika maeneo ya soko la Mwanjelwa jijini Mbeya.
Kwa mujibu wa Kamanda Stephen, watuhumiwa walipofika katika soko hilo Februari 16, walidai walikuwa wakiuza viungo vya kunguru mweupe.

Zelothe alisema kutokana na taarifa walizopata kutoka kwa raia wema, polisi waliweka mtego na kuwanasa baada ya kupatana kuuziana viungo hivyo katika mji wa Mlowo, wilayani Mbozi ambako kachero mmoja alifika Februari 16, kukamilisha mpango huo.

Alisema baada ya makubaliano ya kiasi cha Sh30 milioni kushindikana na kuahidiwa kukamilisha fedha hizo siku inayofuata (Februari 17), kachero huyo alifika na kiasi hicho cha fedha na kupeleka nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa na kukabidhiwa vipande vinne vya viungo hivyo, vikiwemo viganja vilivyohifadhiwa katika magazeti mawili tofauti.

Kamanda Stephen alisema baada ya kumkabidhi viungo hivyo, watuhumiwa walikamatwa na walipopekua nyumbani kwa mmoja wao, walikuta dawa aina mbalimbali na maji ya kuchanganyia dawa hizo.
Dawa hizo zinadaiwa kutumiwa kukamilishia matukio mbalimbali yanayotokea wilayani Mbozi, ikiwa ni pamoja na joho jeusi la mchungaji linalotumika kuendeshea ibada lililokuwa limetundikwa ukutani.
 
Eti huyo mfalme au sultan aliepinduliwa alikuwa mzalendo mwafrika au kizazi cha wavamizi?

Zanzibar hakuna waafrika kuna Wazanzibar

Waafrika na uafrika mnao nyinyi kanisani na huko Tanganyika ambako mnawakandia waafrika wenzenu wa Kenya na Uganda kwa kukataa kusaini kuruhusu visa ya pamoja
 
Huo u-field marshal aliupatia wapi kama sio kujipachika cheo cha kijeshi? Kwanza aliwahi kuwa mwanajeshi wa wapi hadi akapanda cheo cha field marshal?
 
Eti huyo mfalme au sultan aliepinduliwa alikuwa mzalendo mwafrika au kizazi cha wavamizi?
Hakuna mfalme wala sultan aliepinduliwa. Watu wengi(kiasi cha 20,000)walikimbia kwa njia mbalimbali kunusuru maisha kutokana na mauaji ya kiimanina kiitikadi.

Iliopinduliwa ni Serikali halali iliochaguliwa na wazanzibari na kushinda uchaguzi kwa sanduku la kura na kuongozwa na Waziri mkuu Mohammed Shamte, mshirazi wa asili ya Pemba ambae hapo awali alikuwa ASP na kuamua kujitenga na chama hicho cha wavamizi wa kibara na kuunda chama cha washirazi wazalendo ZPPP (Zanzibar and Pemba Peoples Party)

Lakini kinara wa mauaji ya kidini ni John Okello, mvamizi kutoka Uganda na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,baada ya kumpokonya Karume ambae awali alimtunukia cheo hicho na baadae kumteua kuwa msaidizi wake;Eugene kutoka Kenya, Mfaranyaki, Eddington Kisasi,kaujore,Washoto, Natepe,Darwesh, wote kabisa ni kutoka Mrima, si wazaliwa wa Zanzibar na ndio viranja wa waliongoza mauaji ya kiimani na kiitikadi bila ya kuona junaha.
 
Mwana Mapinduzi
Field Marshal John Okello alizaliwa wilaya ya Lango nchini uganda mwaka 1937.Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen, Mfaranyaki, Washoto,Kaujore,Natepe,Darweshh na wengine kutoka Kenya,Msumbiji na Tanganyika waliweza kuipindua serikali changa iliochaguliwa na wananchi kwa mujibu wa Sheria, masharti na taratibu ya Waziri Mkuu wa kwanza mzalendo Muhammed Shamte, tarehe 12 Januari 1964

Vionjo vya Mapinduzi Matukufu

The Americans living in Stone Town fled to the English Club, where the point for evacuation. Those travelling in the car convey to the English Club were shocked to the battered bodies of Arab men lying out on the streets of Stone Town with their severed penises and testicles shoved into their mouths

As part of Okello's carefully laid out plans, all over the island, gangs of Africans armed with knives, spears and pangas (machetes) went about systemically killing all the Arabs they could find. The American diplomat Don Patterson described his horror as he watched from his house as he saw a gang of African men storm the house of an Arab, behead him in public with a panga, followed by screams from within his house as his wife and three children were raped and killed, followed by the same scene being repeated at the next house of an Arab, followed by yet another and another"
Source: Patterson, Don Revolution In Zanzibar: An American's Cold War Tale, New York: Basic Books, 2002 page 68.

Missionari

Zanzibar na Uganda zilikuwa zote ziko kwenye hifadhi ya Uingereza" Protectorate". Zote zilikuwa zinaheshimu ufalme kwenye Katiba zao. Wakati Zanzibar ilipopata uhuru kutoka Uingereza ilikuwa imeridhia "constitutional Monarchy" tu lakini Uganda ilikuwa na mfalme Baganda, mfalme wa nchi ndani ya nchi ya Uganda."Buganda is a sub national kingdom within Uganda"

Ni dhahiri kuwa kama John Okello alikuwa anachukia ufalme angeanza kuuondoa kwao kabla ya kuja Zanzibar.Lakini maandiko yalioandikwa na watu wastahiki na mengine kutoka kinywani mwake mwenyewe inaonesha kuwa lengo lake lilikuwa ni kuwaangamiza waislamu na chuki ya kikatoliki dhidi ya uislamu. Kwa kuhofia kupoteza au kuongeza maana, vipande hivi vya maandishi vinajieleza wenyewe

"Okello appealed to the black majority, but at same time, as a militant Christian who claimed to hear the voice of God in his head, Okello's appeal on an island whose population was 95% Muslim was limited"

He maintained that he heard a voice commanding him, as a Christian, to free the Zanzibari people from the Muslim Arabs. The American diplomat Don Patterson wrote "Genocide was not a term that in the vogue then, as it came to be later, but it is fair to say that in parts of Zanzibar, the killing of Arabs was genocide, pure and simple".

Okello,an eccentric, power-crazed man with a taste for cruelty frequently went on the radio to urge his followers in thunderous Old Testament language to kill as many Arabs as possible, with the maximum of brutality.

Huyu ndio Mganda aliowaangamiza waislamu Zanzibar na miaka minane baadae Wazanzibari haohao wakalazimishwa kwenda kupigana Uganda kumuondoa mtawala muislamu Al-Hajj Iddi Amin Dadah kwa nia ya kumrejesha Dr.Obote, kutoka kabila, dini dhehebu moja na Okello - la ACHOLI

Je, hii ndio sababu kuu ya ASP wakaona ni heri kulifuta kabisa jina la Okello katika historia ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar?

Je, Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari wa Kikatoliki?
Wewe unafikiriaje, Kwamba likua missionari wa kikatoliki au alikua mwanamapinduzi? kWa maana najua fika kabla ya kuleta uzi huu, lazima utakua unajibu
 
Zanzibar hakuna waafrika kuna Wazanzibar

Waafrika na uafrika mnao nyinyi kanisani na huko Tanganyika ambako mnawakandia waafrika wenzenu wa Kenya na Uganda kwa kukataa kusaini kuruhusu visa ya pamoja
Umeelewa swali au ndo ujanja kujibu fedhuli ?
 
Hakuna mfalme wala sultan aliepinduliwa. Watu wengi(kiasi cha 20,000)walikimbia kwa njia mbalimbali kunusuru maisha kutokana na mauaji ya kiimanina kiitikadi.

Iliopinduliwa ni Serikali halali iliochaguliwa na wazanzibari na kushinda uchaguzi kwa sanduku la kura na kuongozwa na Waziri mkuu Mohammed Shamte, mshirazi wa asili ya Pemba ambae hapo awali alikuwa ASP na kuamua kujitenga na chama hicho cha wavamizi wa kibara na kuunda chama cha washirazi wazalendo ZPPP (Zanzibar and Pemba Peoples Party)

Lakini kinara wa mauaji ya kidini ni John Okello, mvamizi kutoka Uganda na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,baada ya kumpokonya Karume ambae awali alimtunukia cheo hicho na baadae kumteua kuwa msaidizi wake;Eugene kutoka Kenya, Mfaranyaki, Eddington Kisasi,kaujore,Washoto, Natepe,Darwesh, wote kabisa ni kutoka Mrima, si wazaliwa wa Zanzibar na ndio viranja wa waliongoza mauaji ya kiimani na kiitikadi bila ya kuona junaha.
Kama sultani ni mzalendo wa kiafrika alikimbia nini nyumbani kumbe ye hakupinduliwa?
 
Kama sultani ni mzalendo wa kiafrika alikimbia nini nyumbani kumbe ye hakupinduliwa?
Iliyopinduliwa ni serikali ya Shamte, baadaye alifungwa jela miaka 10 na Mkatoliki Nyerere huko Tanganyika bila kufikishwa mahakamani. Hayo yalitokea kabla ya huo uitwao Muungano
 
Back
Top Bottom