wakati nchi hizi Kenya , Uganda , Tanganyika na Zanzibar zipo katika harakati za kudai uhuru zote zilikua zikishirikiana na viongozi wao wakiwamo wale wa Zanzibar wakihudhuria mikutano ya Pafmeca na Kule UK .
Nchi za Kenya na Tanganyika zikatangulia kupata Uhuru Ikafata Uganda.
Kasheshe likabaki Zanzibar ambapo Majirani Huru walijua wazi kuwa chama cha ASP mbacho wanakiunga mkono hakina wafuasi wa kuweza kushinda uchaguzi wa uhuru. Pia Walifahamu ombwe la uongozi ambalo wanalo. ASP kiliundwa zaidi na watu wenye asili ya Tnganyika , Msumbiji , Kenya na Hata Uganda ambao ndio hawa akina Okello.
ASP Kilikosa wasomi wa kuiongoza kiliundwa na wacheza dansa na watu wa bar. Asili ya ASP ni shirazi Association na Afircan Association.. washirazi walikuwamo wasomi lakini nao walijitoa ndani ya ASP kutoka na ASP kulazimisha nafasi zote kuchukuliwa na wabara.
majirani kuona ASP haina nafasi wakaandaa mpango wa mavamizi kwa kutumia ASP kama mwega lakini lengo ni kuvitawala visiwa hivo na kuubamiza uislam.
zikaundwa kambi za maharamia kule tanga na kupewa silaha na huku jukumu la kuongoza mauaji akipewa Okello. Lengo lilikua ni kuua zaidi. Serikali ilisalim amri ndani ya masaa 6 lakini mauaji yaliendelea kwa siku kadhaa hata Pemba mabko watu hawakufanya resisstnce yoyote.
Okello huyu ni mbumbumbu .alitumiwa tu nila ya kujijua na kaona ndio kapata nafasi ya kuangamiza waislam. alaichaiwa auwe shiba yake lakini baadae wavamizi wakamkmata na kumfukuza.
okello hakujua kuwa alitumiwa ili watu walo mtuma wasipatikane na katia ya genocide yeye bila ya kujijua akijifanya kinara kumbe lengo la wavamizi ni kujificha nyuma yake ili usionekane ubaya wao...
mavamizi yalifanikiwa na mpaka leo uhuru ule wa znz umepotea na bado znz wanawekewa watawala kama zamani muingereza akiweka gavana wao na leo znz wanaye gavana kutoka tanganyika..