Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Itachungwa vipi amani na ni kanisa katoliki ndilo linalouvuruga Zanzibar kwa kutaka kuuondosha uislamu kama lilivyoumaliza uislamu huku Tanganyika

Soma kitabu cha Padri Sivalon ameeleza dhamira za kanisa kwa zanzibar
Ni baada kushindwa na mbinu zote hizo chafu kupanua ukafiri visiwani, Kanisa limeamua kuwapeleka Waumini wao kutoka Tanganyika na kuhamia visiwsani chini ya kipengele cha mtanzania anahaki ya kuishi popote pale Tanzania. Lakini hilo halitoshi ikalazimishwa kwenye katiba ya Zanzibar kuwepo na kipengele kuwa Mtanganyika akitimiza kuishi miaka kumi atakuwa na haki ya kuitwa eti mzanzibari na hivyo kuongeza utitiri wa ukafiri visiwani. Hapo kabla ndani ya Katiba imeeleza kuwa mzanzibari ni lazima mtu awe amezaliwa visiwani au mmoja wa wazazi wake awe amezaliwa Zanzibar.
 
Huu uzi unafaa kufutwa ni wakichochezi na umejaa ubaguzi wa aina zote
Kama mapinduzi yenyewe yalivyokuwa! Huwezi kuuficha ukweli daima na milele.Ukweli ulifichwa kwa muda mrefu, banda la farasi sasa lazima lifunguliwe, na farasi atoke. Ni uhaini gani aliouendeleza Okello hata kufikia uamuzi wa kufutwa uwepo wake katika historia wakati ndie aliokuwa muasisi wa mapinduzi kama alivyofanyiwa Moses na utawala wa Firauni. Lakini leo ambo yameanikwa kweupe. Tusiwakoseshe watoto wetu uhondo wa kuijua historia ya nchi yao iwe nzuri au mbaya. La msingi kama lipo jambo la uongo katika yalioelezwa na halikufanyika na una ushahidi wenye afya basi uwasilishe na hivyo utakuwa umewatendea haki wana Majlis.
Lengo la huu Uzi n nn
Lengo liko waziwazi kwa anaetaka kuelewa na kuheshimu maoni ya mwengine,mie sina hiyana na kukumbusha:Je,Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari?
 
Nimekuelewa mkuu sasa huu mzozo unatoka wap humu
 
Itachungwa vipi amani na ni kanisa katoliki ndilo linalouvuruga Zanzibar kwa kutaka kuuondosha uislamu kama lilivyoumaliza uislamu huku Tanganyika

Soma kitabu cha Padri Sivalon ameeleza dhamira za kanisa kwa zanzibar

Duh kwahiyo Tanganyika yote wagalatia siku hizi.
 
Duh kwahiyo Tanganyika yote wagalatia siku hizi.


hivi huoni watu wameanza kutolewa mpaka machoooo, au mpaka uambiwe mimi ni muislamu au mkristo ???

Unafikiri Dar es Salaam ilikuwa hivyo kabla kuja ukristo hapo???
 
hivi huoni watu wameanza kutolewa mpaka machoooo, au mpaka uambiwe mimi ni muislamu au mkristo ???

Unafikiri Dar es Salaam ilikuwa hivyo kabla kuja ukristo hapo???

Duh ni kweli nasikia siku hizi watu wanakatwa vichwa kama Mbuzi kwasababu hiyo ni kazi mojawapo ya kumuenzi Mungu mpenda damu za watu.
 
Duh ni kweli nasikia siku hizi watu wanakatwa vichwa kama Mbuzi kwasababu hiyo ni kazi mojawapo ya kumuenzi Mungu mpenda damu za watu.




MCHUNGAJI WA KANISA AKAMATWA NA VIUNGO VYA ALIBINO


POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu wawili wakazi wa Kijiji cha Idweli, Kata ya Iyula, wilayani Mbozi, akiwemo mchungaji wa Kanisa la Pentekoste kwa tuhuma za kupatikana na viungo vya albino ambavyo vilikuwa vikiuzwa kwa Sh30milioni.

Tukio hilo linalomhusisha mchungaji, limekuja wakati nchi ikiwa katika kampeni ya kupambana na ukatili dhidi ya maalbino, ambayo hupewa msukumo pia na viongozi wa dini mbalimbali.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Zelothe Stephen alisema mtuhumiwa mwingine ni mkulima wilayani Mbozi.
Kamanda huyo alisema kukamatwa kwa watuhumiwa kulikuja wakati wakihaha kusaka wateja katika maeneo ya soko la Mwanjelwa jijini Mbeya.
Kwa mujibu wa Kamanda Stephen, watuhumiwa walipofika katika soko hilo Februari 16, walidai walikuwa wakiuza viungo vya kunguru mweupe.

Zelothe alisema kutokana na taarifa walizopata kutoka kwa raia wema, polisi waliweka mtego na kuwanasa baada ya kupatana kuuziana viungo hivyo katika mji wa Mlowo, wilayani Mbozi ambako kachero mmoja alifika Februari 16, kukamilisha mpango huo.

Alisema baada ya makubaliano ya kiasi cha Sh30 milioni kushindikana na kuahidiwa kukamilisha fedha hizo siku inayofuata (Februari 17), kachero huyo alifika na kiasi hicho cha fedha na kupeleka nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa na kukabidhiwa vipande vinne vya viungo hivyo, vikiwemo viganja vilivyohifadhiwa katika magazeti mawili tofauti.

Kamanda Stephen alisema baada ya kumkabidhi viungo hivyo, watuhumiwa walikamatwa na walipopekua nyumbani kwa mmoja wao, walikuta dawa aina mbalimbali na maji ya kuchanganyia dawa hizo.
Dawa hizo zinadaiwa kutumiwa kukamilishia matukio mbalimbali yanayotokea wilayani Mbozi, ikiwa ni pamoja na joho jeusi la mchungaji linalotumika kuendeshea ibada lililokuwa limetundikwa ukutani.
 
Eti huyo mfalme au sultan aliepinduliwa alikuwa mzalendo mwafrika au kizazi cha wavamizi?


Zanzibar hakuna waafrika kuna Wazanzibar

Waafrika na uafrika mnao nyinyi kanisani na huko Tanganyika ambako mnawakandia waafrika wenzenu wa Kenya na Uganda kwa kukataa kusaini kuruhusu visa ya pamoja
 
Huo u-field marshal aliupatia wapi kama sio kujipachika cheo cha kijeshi? Kwanza aliwahi kuwa mwanajeshi wa wapi hadi akapanda cheo cha field marshal?
 
Eti huyo mfalme au sultan aliepinduliwa alikuwa mzalendo mwafrika au kizazi cha wavamizi?
Hakuna mfalme wala sultan aliepinduliwa. Watu wengi(kiasi cha 20,000)walikimbia kwa njia mbalimbali kunusuru maisha kutokana na mauaji ya kiimanina kiitikadi.

Iliopinduliwa ni Serikali halali iliochaguliwa na wazanzibari na kushinda uchaguzi kwa sanduku la kura na kuongozwa na Waziri mkuu Mohammed Shamte, mshirazi wa asili ya Pemba ambae hapo awali alikuwa ASP na kuamua kujitenga na chama hicho cha wavamizi wa kibara na kuunda chama cha washirazi wazalendo ZPPP (Zanzibar and Pemba Peoples Party)

Lakini kinara wa mauaji ya kidini ni John Okello, mvamizi kutoka Uganda na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,baada ya kumpokonya Karume ambae awali alimtunukia cheo hicho na baadae kumteua kuwa msaidizi wake;Eugene kutoka Kenya, Mfaranyaki, Eddington Kisasi,kaujore,Washoto, Natepe,Darwesh, wote kabisa ni kutoka Mrima, si wazaliwa wa Zanzibar na ndio viranja wa waliongoza mauaji ya kiimani na kiitikadi bila ya kuona junaha.
 
Wewe unafikiriaje, Kwamba likua missionari wa kikatoliki au alikua mwanamapinduzi? kWa maana najua fika kabla ya kuleta uzi huu, lazima utakua unajibu
 
Zanzibar hakuna waafrika kuna Wazanzibar

Waafrika na uafrika mnao nyinyi kanisani na huko Tanganyika ambako mnawakandia waafrika wenzenu wa Kenya na Uganda kwa kukataa kusaini kuruhusu visa ya pamoja
Umeelewa swali au ndo ujanja kujibu fedhuli ?
 
Kama sultani ni mzalendo wa kiafrika alikimbia nini nyumbani kumbe ye hakupinduliwa?
 
Kama sultani ni mzalendo wa kiafrika alikimbia nini nyumbani kumbe ye hakupinduliwa?
Iliyopinduliwa ni serikali ya Shamte, baadaye alifungwa jela miaka 10 na Mkatoliki Nyerere huko Tanganyika bila kufikishwa mahakamani. Hayo yalitokea kabla ya huo uitwao Muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…