Fiesta Dar ni Utapeli Mkubwa

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Baada ya wao kugundua vyuma vimekaza wakaja na kauli mbiu ya "local artists", wakijinasibu kua sasa wamezamilia kuifanya bongo fleva kua ya kimataifa na uzalendo kwanza, sasa matokeo yake yamekua ndivyo sivyo na local artists wame wa prove wrong waandaji kua local maana yake ni upuuzi na grade ya chini kabisaa.

Asilimia 75 ilijaa wasanii ambao bado hata hawajatoka, hawafahamiki popote ukitoa instagram, mbaya zaidi wanaimba ujinga sanaa na hawawezi kabisa kuimba na live band, na wanapenda kufuatilia cd 'play back'.

Wasanii kuligeuza jukwaa kua sehemu ya kupiga stori, kuita wasanii wengine waje wawasaidie kuimba na kuanza kubembelezana kimapenzi ili washangiliwe.

Mic mbovu, mara zikate mara zisiskike, upuuzi sanaa.

Maigizo ya bongo movie kwenye bongo fleva, non sense sanaaa.

Wasanii walikua kama wana fatigue, hawana hamsha hamsha yoyote, walikula laki tatu tatu za wandaji za bure tu.

Kwa matangazo yalivyokua na mbwembwe za kupiga mpaka asubuhi, alafu show ya vile hahahaahaha hawa jamaa wezi sanaa, matapeli wakubwa.
 
Pole name jua mwakan inafungiwa Mz mikoan atupendagi ujinga wakizengua wakutana na stick .
 
ndo mana mimi ntaishia kuangalia live concert za kongo 2
 
Kwahyo ilikosekana msanii wa nje mmoja... Hv yule TI aliimba nini cha maana... Ukweli usio pingia wasanii wa bongo hawawezi kuimba na live band ukimtoa alikiba,barnaba .... Ila hao wa nje ndio hawawezi kabisa..

Mara paaap tumekusoma... Efm
 
mjini hapa hakuna shamba ohooo!
 
sema yaya yeye jamani mko tayari! hv umetoka kwako hadi leaders alafu usiwe tayari
 
Ni haki yake kulaumu kwa mapungufu aliyoyaona. Au wewe ndio ulimlipia kiingilio!?
Sasa ulilazimishwa uende???
Kama haikufai si ungeenda panapokufaa?? Maisha ni kuchagua..kile kinachokufaa....
Kwani Kiingilio cha Fiesta ni lazma ulipe kama Kodi??...
Ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…