666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,700
- 3,921
Baada ya wao kugundua vyuma vimekaza wakaja na kauli mbiu ya "local artists", wakijinasibu kua sasa wamezamilia kuifanya bongo fleva kua ya kimataifa na uzalendo kwanza, sasa matokeo yake yamekua ndivyo sivyo na local artists wame wa prove wrong waandaji kua local maana yake ni upuuzi na grade ya chini kabisaa.
Asilimia 75 ilijaa wasanii ambao bado hata hawajatoka, hawafahamiki popote ukitoa instagram, mbaya zaidi wanaimba ujinga sanaa na hawawezi kabisa kuimba na live band, na wanapenda kufuatilia cd 'play back'.
Wasanii kuligeuza jukwaa kua sehemu ya kupiga stori, kuita wasanii wengine waje wawasaidie kuimba na kuanza kubembelezana kimapenzi ili washangiliwe.
Mic mbovu, mara zikate mara zisiskike, upuuzi sanaa.
Maigizo ya bongo movie kwenye bongo fleva, non sense sanaaa.
Wasanii walikua kama wana fatigue, hawana hamsha hamsha yoyote, walikula laki tatu tatu za wandaji za bure tu.
Kwa matangazo yalivyokua na mbwembwe za kupiga mpaka asubuhi, alafu show ya vile hahahaahaha hawa jamaa wezi sanaa, matapeli wakubwa.