Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

Hahaaaa hapana aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..kuna kichwa kibaya na kibovu kumbuka.. changu hakifai kunyolewa para tu ila sio kwamba kina bonde katikati

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sawa mkuu kwahiyo cha pjm nikibaya au kibovu??hahhaa ila kumbuka maendeleo hayana chama
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu kwahiyo cha pjm nikibaya au kibovu??hahhaa ila kumbuka maendeleo hayana chama
Nikisema kwa ID yangu hii..noah nyeusi itanihusu lakini unipe tu uhakika wa kuniletea ubwabwa mzuri central daily
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nitaongea
 
Alafu mimi sija panic ww ndio umepanic mpaka Umehamisha magoli.

Mimi kwetu nimezaliwa wa kiume peke yangu na dada zangu wakishafikia 18, sina cha kuwa control kwani siku zote sipendi kuingilia maamuzi ya hisia za wadogo zangu kwani wana maamuzi yao kihisia kama mimi ila nitawashauri, wewe kama unaweza ni ww mi sifanyagi hivyo, ila kama wakihitaji ushauri nitawapa .

Mimi sioni na ndio MAANA ZINAITWA TUNGO TATA, utaelewa unavyojua ww.
 
Wewe jamaaa ase [emoji114][emoji114][emoji114] [emoji16][emoji16]

Hujibu direct ila ukielewa kitu ni lazma nikusome hivyo, nimeshakuelewa mkuu.
[emoji106][emoji106][emoji106]
Tusipoteze nguvu zaidi kwa vitu vilivyo wazi
 
Umeongea vyema mkuu,kuwepo kwa matamsha mengi tofaut tofauti ndio kukua kwa game,, Ndio mana hata baada ya Wasafi festival kuanza,hata wasanii ambao walikua hawapati fursa ,wakapata na wao Showz.

Ila shida ipo kwa hawa Clouds,,wanataka kuwepo na Fiesta tu,yani watafanya kila figisu ili hali wawepo wao tu..Na hapa ndo game inakua ngumu kukua.

So clouds wabadilike ,Na wakubali ushindani usio na chuki kwa manufaa ya wasanii wote,

Hili la Fiesta kudoda liwe funzo kwao na kwa wengine wote..
 
Nyama ya Bata kaimba Lil ghetto ft Mzee Yusufu,Na wimbo wa Pole samaki pole wanavyokufanya kaimba A.T,Pia kuna wimbo wa Mama Ntilie ulioimbwa na A.T ft Ray c una maudhui ya kingono ila umeimbwa kwa mafumbo.
 
harafu hakua kwenye list, so hakulipwa akawa anaatuomba mashabiki
 

Kwaiyo unakusudia kusema washabiki wa domo ni vichwa vibovu a.k.a vifuu tundu?
 
Nikisema kwa ID yangu hii..noah nyeusi itanihusu lakini unipe tu uhakika wa kuniletea ubwabwa mzuri central daily
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nitaongea

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚acha uwoga ww lol..nitakuletea pilau kbs๐Ÿ˜Š..nitaleta na pepeta uwe unatafuna tafuna unavyosubiri kusomwa kwa kesi yako
 
Mimi sijaenda ila mtu aliyeenda pia kaniambia hivyo aliefanya vizuri ni chid benzi nilishangaa kidogo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]acha uwoga ww lol..nitakuletea pilau kbs[emoji4]..nitaleta na pepeta uwe unatafuna tafuna unavyosubiri kusomwa kwa kesi yako
Hapo nambie chochote nafanya maana sio kwa kujali kwa namna hiyo ..uoga nshaeka kando, sema nifanye nini ufurahi[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hapo nambie chochote nafanya maana sio kwa kujali kwa namna hiyo ..uoga nshaeka kando, sema nifanye nini ufurahi[emoji4][emoji4][emoji4]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kiri kwa kinywa chako kuwa una bichwa baya kama la namba 1๐Ÿ˜Š...bichwa mbonyeo๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š..lina macontour ya kufa mtu๐Ÿ˜
 
Na mimi nipo kama huyo๐Ÿ˜Š
๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š nahis aisee..๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š..ww somebdy mwabulambo๐Ÿ˜Ž?nimetoka kutana nw na kichwa 1 ya PHSS amenichekesha sana tht Mogha bado yupo,na Chaula๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ