Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

[emoji23][emoji23]kiri kwa kinywa chako kuwa una bichwa baya kama la namba 1[emoji4]...bichwa mbonyeo[emoji4][emoji4]..lina macontour ya kufa mtu[emoji16]
Huo si utakuwa uongo sasa... [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ntakutumia kichwa changu pm ujipimie mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fiesta ishakuwa ya wasanii toka Arusha tuu hata kama ni vichwa maji...Clouds huwa wanakera sana somtyme..kwanza wakipotea kwangu mimi sherehe
 
Fiesta ya sasa sio kama ya zamanii fiesta ya janaa inarudi nyumaa[emoji446][emoji441][emoji445][emoji447][emoji447][emoji445][emoji445] ruge amka bwana mambo hayaendi uku
 
Fiesta ikifa ni watu wengi sana wataumia mbali na clouds, nilitegemea utataja makosa lakini pia utatoa hata mwanzo wa nini unadhani kifanyike

Mnaoshabikia kufa kwa Fiesta na Clouds ilhali mnaishabikia wasafi bhasi hamjielewi..monopoly wote duniani hawana tofauti katika kutaka super normal profits. Kushindwa kwa mavoko sio kitu cha kufurahia maana itafika kipindi wasanii wa WCB nao watakabwa shingo na kwa hofu ile ile ya kutotoboa bila WCB kama ilivyokuwa clouds..watanyonywa zaidi

Nachoona kuwe na Festivals mbalimbali ili nguvu ya wasanii iwe kubwa maana akikosa Fiesta ataenda wasafi au mziki mnene..hii ndo itakuwa solution
WCB majukwaa tu yamewashinda mpaka mkadondoka.fiesta gani umewahi kusikia jukwaa limedondoka.acheni wivu.
 
Diamond alikuwa finished kwenye fiesta ya 2014 Ambapo Tİ alitimba ..toka siku ile ajakanyaga fiesta tena..Mwana Dar es salaam ilimpoteza...kifupi walivyokataliwa fiesta ya leaders lazima watu wapungue...Domo ajipange na kiki za wanawake....watu wamekwenda kula Xmass
 
Walianza Vinega.
Wakaja Mziki Mnene.
Sasa ni Wasafi Festival.
Who is next...
Bado hawajaiua Fiesta sie tunasubiri kuona mshindi huku tukiburudika.
 
Back
Top Bottom