Fiesta Ina hali mbaya

Fiesta Ina hali mbaya

Haijarishi kusaga yupo wasafi au lah,
Tunachotaka ni hiyo media iliyoua na kuwapoteza wasanii wa Tanzania wengi kwa bifu zao za hovyo kisa wapate kujinufaisha na wao wa experience maumivu,and not a long way to go,we will have a discussion about how they died.
Haijarishi - Haijalishi
 
Wasafi empire ni Mali ya Diamond,dunia yote inajua hivyo kasoro Wewe,
Na wasafi ni brand yenye branches tofauti tofauti
Mfano
WCB wasafi lebo 100% ni yeye
Zoom production 100% ni yeye
Wasafi media 45% zake zingine 53% na 2% kawapa wengine
Mmiliki wa brand ni diamond huyo mke wa kusaga ni major shareholder wa wasafi TV tu.
Cloud's ni family company ya kina kusaga hatujui share zake na ananufaika Vipi,
Pia pale Cloud's kuna shareholders wengine.
haya kampokee baba mkate alafu hapo kibarazani kuna michanga sana hebu chukua fagio upasafishe.
 
Wasafi empire ni Mali ya Diamond,dunia yote inajua hivyo kasoro Wewe,
Na wasafi ni brand yenye branches tofauti tofauti
Mfano
WCB wasafi lebo 100% ni yeye
Zoom production 100% ni yeye
Wasafi media 45% zake zingine 53% na 2% kawapa wengine
Mmiliki wa brand ni diamond huyo mke wa kusaga ni major shareholder wa wasafi TV tu.
Cloud's ni family company ya kina kusaga hatujui share zake na ananufaika Vipi,
Pia pale Cloud's kuna shareholders wengine.
Baelezee baelezeee maana watu wanandika mashudu tu
 
Bora ingekuwa vita ya Diamond na Kusaga badala yake imekuwa mashabiki. Kusaga yeye anacheeeka na familia yake. Aliona threat mbele yake akatake action.
Clouds haiwezi kufa hata Kusaga akifa. Ila Brand ya Wasafi inaweza isiwepo bila Diamond
 
Baada ya wasafi festival kuiteka dar jumamosi kwa tamasha lililofanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa gumzo Kila Kona. clouds ikimtumia soudy brown akiwa na matarumbeta wanawashawishi watu maeneo ya kijimboni kusikiliza clouds.

Ukiachana na Hilo clouds wameanzisha slogani ya Kupinga 100% mziki wa ndani na wanaanza kuanzia Leo mpaka siku ya fiesta.Nimepitia kwenye comment kwenye mtandao wao wa Facebook watu wengi wamewauliza Kama mnapiga ngoma za ndani kwa asilimia 100 kwani diamond na lady Jay Dee ni wasanii kutoka Iraq?
Ishu ya kutumia mziki wa ndani kwenye kilele cha fiesta hawajaanza mwaka huu, tangia mwaka Jana wana kampeni hiyo, wanajaribu kusema mziki wetu(bongo fleva ) no kubwa haihitaji MTU (msanii) wa nje ku busti mziki wetu.
 
Mmiliki mwenza diamond 45% ,Hivi alikibakuli ana % ya clouds ?
Alikiba hapendi 'kujionyesha' tu,ila ana TV yake 'kubwa' sana inaitwa King kiba online TV huko youtube yaani ni kama tu unavyoona Joti tv,Ebitoke tv,mc pilipili tv. na pia ni mmiliki wa msemo wa YOOOOOOOOOOOOOOOO.

Mchizi hapendi 'kujionyesha' tu.
 
Hivi konde boy ili atoke wasafi ilitakiwa alipe sh ngapi kweli?,milion 500 huoni na wao ni wanyonyaji tu?
Kwani we unajua walitumia sh ngapi kwake ? Je harmonize mbona ameanza kulipa kwa nini hajalalamika ? Leo show moja anafanya analipwa mil 20 kwa mwaka akifanya show 12 =tsh mil 240 ,hivi waliomtengeneza maisha yote kwa mwaka apate 240 kwa mwaka walistahili shngap mfano?Ile ni biashara diamond ana ndugu zake hajawekeza kwao ,hakuwa anamsaidia kama ndugu bali biashara .
 
haya kampokee baba mkate alafu hapo kibarazani kuna michanga sana hebu chukua fagio upasafishe.
Baba mungu nilishampokea muda mrefu sana yupo moyoni mwangu,nyie baba yenu ruge si alishakufa mulienda kumzika kule kwenu bukoba na kubaki yatima maana hakuwa na mke rasmi Yaani bachela,mmekuwa watoto wa mitaani.
 
Back
Top Bottom