Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chibu perfume zimeisha, diamond karaga hawaziuzi tena.hilo ni suala la muhusika mwenyewe kuamua kuendelea na hizo biashara au kuacha ili kuja na kingine baada hizo bidhaa kufanya vizuri sokoni.Miaka 20 unafananisha na mwaka mmoja maweee..wafanye miaka kumi mfululizo kwanza..kuna bidhaa nyingi zinakuja kwa kishindo alafu kapuni...Chibu perfume,Diamond karanga ziko wapi
innocent dependent,
Baada ya miaka mitatu redio clouds itakua kama WAPO FM,kusaga mwenyewe ameshama nchi akija anakuja kukagua viwanda vyake tu
Sio kudrop tu tz hakuna MTU yoyote was kuishusha clouds labda waamue kufunga radio yao wakalime,wasanii wote wakali clouds wamejimilikishaClouds haiwezkan kudrop kiivyo kam mnavyofikilia bado inamizizi yake yakutosha
Mke WA kusaga ana 50% ya hisa pale wasafi,kwanini hawapatani hiyo in business strategy ya kuwakamata manyumbu kama wewe ili wapige helaAngelikuwa ni huyo basi bifu ya wasafi na clouds inatokea wapi... jaribuni kutumia logic ya kawaida sema labda ana share na yeye wasafi na hayo mengineyo ni uvumi tu uliovuma enzi za kumshindanisha aslay na diamond
Unawezaje kuacha biashara inayofanya vizuri sokoni? Labda uwe chizi,Karanga kidogo ziliuzika but perfume zilibuma mapema huwezi kutuuzia perfume laki1 wakatti dukani kuna perfume elfu5 halafu INA quality sasa na yakoChibu perfume zimeisha, diamond karaga hawaziuzi tena.hilo ni suala la muhusika mwenyewe kuamua kuendelea na hizo biashara au kuacha ili kuja na kingine baada hizo bidhaa kufanya vizuri sokoni.
Mzee baba perfume ziliisha au Hauna taarifa.Unawezaje kuacha biashara inayofanya vizuri sokoni? Labda uwe chizi,Karanga kidogo ziliuzika but perfume zilibuma mapema huwezi kutuuzia perfume laki1 wakatti dukani kuna perfume elfu5 halafu INA quality sasa na yako
Perfume zilibuma,unless otherwise labda km una dataMzee baba perfume ziliisha au Hauna taarifa.