Fiesta Ina hali mbaya

Fiesta Ina hali mbaya

Bora ingekuwa vita ya Diamond na Kusaga badala yake imekuwa mashabiki. Kusaga yeye anacheeeka na familia yake. Aliona threat mbele yake akatake action.
Clouds haiwezi kufa hata Kusaga akifa. Ila Brand ya Wasafi inaweza isiwepo bila Diamond
Unaumwa utindio wa ubongo WASAFI BABA LAO
 
Bora ingekuwa vita ya Diamond na Kusaga badala yake imekuwa mashabiki. Kusaga yeye anacheeeka na familia yake. Aliona threat mbele yake akatake action.
Clouds haiwezi kufa hata Kusaga akifa. Ila Brand ya Wasafi inaweza isiwepo bila Diamond
So what's your damn problem?
 
Baada ya wasafi festival kuiteka dar jumamosi kwa tamasha lililofanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa gumzo Kila Kona. clouds ikimtumia soudy brown akiwa na matarumbeta wanawashawishi watu maeneo ya kijimboni kusikiliza clouds.

Ukiachana na Hilo clouds wameanzisha slogani ya Kupinga 100% mziki wa ndani na wanaanza kuanzia Leo mpaka siku ya fiesta.Nimepitia kwenye comment kwenye mtandao wao wa Facebook watu wengi wamewauliza Kama mnapiga ngoma za ndani kwa asilimia 100 kwani diamond na lady Jay Dee ni wasanii kutoka Iraq?
mtawasema sana, mtawalinganisha sana, ila wao ndio waliochonga barabara kwa matamasha na redio za biashara mpaka watangazaji,
wale wanafanya vitu kwa level zao, na tangu mmeanza kusema watashuka ipo siku, ndio kwanza wanaendelea kupaa zaidi
 
Hiv mond analipwa kiasi gani kwa show moja?
Kwani we unajua walitumia sh ngapi kwake ? Je harmonize mbona ameanza kulipa kwa nini hajalalamika ? Leo show moja anafanya analipwa mil 20 kwa mwaka akifanya show 12 =tsh mil 240 ,hivi waliomtengeneza maisha yote kwa mwaka apate 240 kwa mwaka walistahili shngap mfano?Ile ni biashara diamond ana ndugu zake hajawekeza kwao ,hakuwa anamsaidia kama ndugu bali biashara .
 
mtawasema sana, mtawalinganisha sana, ila wao ndio waliochonga barabara kwa matamasha na redio za biashara mpaka watangazaji,
wale wanafanya vitu kwa level zao, na tangu mmeanza kusema watashuka ipo siku, ndio kwanza wanaendelea kupaa zaidi
Nini kimewafanya washushe kiingilio Cha fiesta kutoka 10000 mpaka 5000?jibu Kwanza hili wakati wenzao wameweka 10000, 100000 na 500000 na wamejaza kote.
 
Nini kimewafanya washushe kiingilio Cha fiesta kutoka 10000 mpaka 5000?jibu Kwanza hili wakati wenzao wameweka 10000, 100000 na 500000 na wamejaza kote.
kila mtu anafanya kutokana na target yake, ndio maana hata mikoa mingine bei ilikuwa hivo, kumbuka pale kuna mzamini ambae pia huduma yake inatakiwa itumike, ambayo ni Tigo pesa, maamuzi hayafanywi na Clouds tu kumbuka mzamini ana ana masharti yake pia,
 
Anguko la clouds kuondoka kwa jembe ruge clouds wanapumulia gas
Balaaa zito
FB_IMG_15735401658801195.jpeg
 
Back
Top Bottom