Fiesta Ina hali mbaya

Bora ingekuwa vita ya Diamond na Kusaga badala yake imekuwa mashabiki. Kusaga yeye anacheeeka na familia yake. Aliona threat mbele yake akatake action.
Clouds haiwezi kufa hata Kusaga akifa. Ila Brand ya Wasafi inaweza isiwepo bila Diamond
Unaumwa utindio wa ubongo WASAFI BABA LAO
 
Bora ingekuwa vita ya Diamond na Kusaga badala yake imekuwa mashabiki. Kusaga yeye anacheeeka na familia yake. Aliona threat mbele yake akatake action.
Clouds haiwezi kufa hata Kusaga akifa. Ila Brand ya Wasafi inaweza isiwepo bila Diamond
So what's your damn problem?
 
mtawasema sana, mtawalinganisha sana, ila wao ndio waliochonga barabara kwa matamasha na redio za biashara mpaka watangazaji,
wale wanafanya vitu kwa level zao, na tangu mmeanza kusema watashuka ipo siku, ndio kwanza wanaendelea kupaa zaidi
 
Hiv mond analipwa kiasi gani kwa show moja?
 
mtawasema sana, mtawalinganisha sana, ila wao ndio waliochonga barabara kwa matamasha na redio za biashara mpaka watangazaji,
wale wanafanya vitu kwa level zao, na tangu mmeanza kusema watashuka ipo siku, ndio kwanza wanaendelea kupaa zaidi
Nini kimewafanya washushe kiingilio Cha fiesta kutoka 10000 mpaka 5000?jibu Kwanza hili wakati wenzao wameweka 10000, 100000 na 500000 na wamejaza kote.
 
kila mtu anafanya kutokana na target yake, ndio maana hata mikoa mingine bei ilikuwa hivo, kumbuka pale kuna mzamini ambae pia huduma yake inatakiwa itumike, ambayo ni Tigo pesa, maamuzi hayafanywi na Clouds tu kumbuka mzamini ana ana masharti yake pia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…