fiesta....

fiesta....

Duu, huu uchezaji wa madensa wa shilole, Viewer discretion is advised!
 
leo wasanii wa kike wanaheshimu vyupi vyao..,hawavionyeshi...
 
.... Loh.... Snura nae walewale..background..
Tumsubiri linex shortly,.
 
.....snura yuko sexxxyyy,...she is shaking that thing..
 
Tuseme hakuna mwanajamvi alieenda? Hatutaki kesho mapicha ya kudownload kujaziwa hapa
 
Jamani hii fiesta..mbona iko low sana mzuka wake...
Sound
Dj
Wasanii
Mcs
Mashabiki wanalazimisha tu shangwe!!!!
#playback #playback inaboa jamani..

Imagine hizi ngoma za snura kungekuwa na drum pale kati.zinapigwa ingekuwaje????

Mbona maisha club wanapiga live tena ni club,, leo hii show kubwa #playback ?????? Haiji,, naenda zangu kulala kaaaaaaaaaaaaahhhhh!!! Hasa Dj kanivuruga sana...

Mkuu sound system yenyewe iko wapi yakupiga live?
 
Mbona hiviii jmn Linex hackiki ni mitangazo yaoooo
 
Jamani hii fiesta..mbona iko low sana mzuka wake...
Sound
Dj
Wasanii
Mcs
Mashabiki wanalazimisha tu shangwe!!!!
#playback #playback inaboa jamani..

Imagine hizi ngoma za snura kungekuwa na drum pale kati.zinapigwa ingekuwaje????

Mbona maisha club wanapiga live tena ni club,, leo hii show kubwa #playback ?????? Haiji,, naenda zangu kulala kaaaaaaaaaaaaahhhhh!!! Hasa Dj kanivuruga sana...

Nashangaa wanaosema show ina mzuka. Yaani kwa sound hii mbovu kuna mzuka gani hapo? Ni show mbovu kuliko Fiesta zote nilizohudhuria. Hii unaweza ita live show? Wamejenga stage ya ukweli lakini wakapuuza sound.
 
show iko mzuka kama na wewe uko high...kama vp lala,..
 
Back
Top Bottom