Badili jina, huwezi kujiita Wenger wakati huamini kwamba mpira unadunda (kidding). Nimejifunza jambo moja kubwa sana, USA walitumia SWOT analysis kushinda ile game, walijua wazi kwamba strength yao ipo kwenye team cohesion, commitment na discipline (sio ile ya Maximo), waliona kwamba wao as individual they can't match with the Spanish interms of brilliance, so team work was their key weapon, threat kubwa kwao ilikuwa ni kuwaacha waspanish waposses mpira kwa muda mrefu na hilo walilijua kwa hiyo walikaba na kuziba nafasi sana, kingine nilichijifunza ni jinsi gani waliweza kuzuia penetration pass za Xavi ambazo ndio chano kikubwa cha ushindi wa Spain as a national team na pia Barca.