FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

Wenzio hupenda kusema 'chenga tuliwala lakini magoli walitufunga'....
hata kipofu huzalisha.

Si unajua waswahili hawakubali kushindwa, kichapo wamechezea warudi kuvua samaki tuu sasa hivi.By the way USA ni number 14 kwenye FIFA ranking kwa hiyo sio wabaya kama wengi wetu tunavyopenda kuamini. Jamaa walimshut down Xavi hehehe and I loved it!!!
 
Badili jina, huwezi kujiita Wenger wakati huamini kwamba mpira unadunda (kidding). Nimejifunza jambo moja kubwa sana, USA walitumia SWOT analysis kushinda ile game, walijua wazi kwamba strength yao ipo kwenye team cohesion, commitment na discipline (sio ile ya Maximo), waliona kwamba wao as individual they can't match with the Spanish interms of brilliance, so team work was their key weapon, threat kubwa kwao ilikuwa ni kuwaacha waspanish waposses mpira kwa muda mrefu na hilo walilijua kwa hiyo walikaba na kuziba nafasi sana, kingine nilichijifunza ni jinsi gani waliweza kuzuia penetration pass za Xavi ambazo ndio chano kikubwa cha ushindi wa Spain as a national team na pia Barca.
waliwasumbua kama sisi tunavyosumbuliwaga na kina hull city ha ha ha ha.wanajaa kibao hawaruhusu mcheze style yenu.
 
Poleni sana mashabiki wa Spain,vijana wa Obama wameanza kucheza fomation kama ya ITALY
 
Shabalala alipiga vizuri, basi tuuu.

Mpaka sasa SA wanacheza vizuri, naweza kusema Possession mpaka sasa ni 50/50
 
wasauzi wanajitahidi!
HOME SWEET HOME!inawapa courage
 
Dah,

Brazil naona leo wamekumbana na kisiki wasichokitarajia.

Half time
 
Duh!! nisije kulishwa humble pie hapa, ila mechi inaboa! Invisible wewe mpira umecheza lini?
 
Invisible unacheki website gani?
Sorry,

Siangalii kwenye website mkuu... Naangalia kwenye luninga. Nipo Brazil, wakijua nashabikia SA wataniua hehehehehe.

Wakuu SA wamecheza kiwango kisichotarajiwa, dakika ya 60, still SA 0 - Brazil 0
 
Sauzi wakishinda, Balantanda na wenzake lazima wanitoe roho loh!!!
 
Back
Top Bottom