Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
kweli mpila mchezo waajabu.yani egypt wameshindwa hata kupata goli moja? kesho sijui nitajificha wapi kazini manake nimeongea uchafu sana kuhusu timu ya usa.
Nimeshangaa sana Taliano kachuchumaa tatu fasta fasta namna ile....Kule kwengine nako Pharao anajitahidi kukichomoa kidude cha Obama
Misri walimaliza nguvu zao zote wakasahau kuna game na USA but wametuwakilisha vizuri
MTM Umemuona Kleberson jana?
MTN Umemuona Kleberson jana?
...walivyowageuza wenzao Manure na wao kujifanya Barca...
Kaka waache tu, baba yao kapumzika wao wanampigia mikelele....hapa si tunaongelea confdrtn cup?...matusi ya nguoni hayoooo!
MTN Umemuona Kleberson jana?
Bado sijaamua niweke avatar gani,ngoja tusubiri inaweza kuwa BenzemaAloo weye!!!...heshima mbele. Za kwako ?..
Kusudio langu ni kukutania kuhusu hio avatar yako..utaibadili?
maana naona imepitwa na wakati...LOL!🙂
One Love bro!
P.S. nani anachukua Confed cup?
NImeona Kiasi.. maumivu kwa Italy yalikuwa mabaya hasa jinsi brasil walivyowageuza wenzao Manure na wao kujifanya Barca... Hahahaaaaaaaaaaaaaa
... i was switching channels matokeo yake nikaishia kuchoshwa tu na warabu wale!!
Achana nao hao,Welcome back againJamani hayajaisha tu?, kipindi choooooote hiki niko likizo ya 'jukwaaa"?
Am back fellas,'-...
Jamani hayajaisha tu?, kipindi choooooote hiki niko likizo ya 'jukwaaa"?
Am back fellas,'-...
Jamani hayajaisha tu?, kipindi choooooote hiki niko likizo ya 'jukwaaa"?
Am back fellas,'-...
Yo Yo, ulitarajia US wawaondoe Egypt kirahisi hivi?spain wanacheza kabumbu murua saaaana.....ni timu yenye viungo bora duniani kwa sasa....