FIFA iingilie kati Liverpool kubebwa EPL

Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.

Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.

FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.

Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
Wewe utakuwa unaumwa! FIFA wenyewe kachukua kombe lao la FIFA CLUB WORLD CUP QATAR!
Hivyo basi Liverpool anaamika hadi kwa IFANTINO Kwa uwezo!
kwa vile uliyeanxisha huu uzi umeagwa jana kutoka MILEMBE bado unatumia DOZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.

Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.

FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.

Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
FIFA Hakuna Karia wala malinzi ..Hawarubuniki😂😂😂😂
 
Kwa hiyo wanabebwa kama simba wanavyobebwa siyo
 
Vs Villa firminho goal lilipokataliwa na VAR ulikuwa wapi
Vs watford Mane goal lilipokataliwa na VAR ulikiwa wapi
Vs United goli la Man walipopewa ingawa VAR iligoma kusema kuwa walifanyia madhambi origi kabla ulikuwa wapi
MAPENATI ya VAR wanayopewa MANJESTA YA OLE SENDEKE unayasemaje...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wanateseka sana na mafanikio ya Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa hawa kuku wanabebwa mpaka kero

Mbwa hawa yanalizimisha kutoa gundu la miaka 30 kwa gharama zotee,
Rushwaa. Mpaka var
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.

Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.

FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.

Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
Hii kitu umepiga itakuwa ya Meru. Kitu ya Meru huwa haimwachi mtu salama . Lazima uje na maushudu kama haya
 
Back
Top Bottom