Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
FBI,M16 and Scotland Yard liked your post.Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.
Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.
FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.
Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
Sent using Jamii Forums mobile app