FIFA iingilie kati Liverpool kubebwa EPL

FIFA iingilie kati Liverpool kubebwa EPL

Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.

Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.

FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.

Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
FBI,M16 and Scotland Yard liked your post.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom