Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu ni nyumbu tu hata umvike ngozi ya kondoo..Ushashiba makande unaongea ushubwada et liver inabebwa uoni hata aibu, na CL walibebwa, pia CWC walibebwa ww utakua ni Nyumbu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa unaumwa! FIFA wenyewe kachukua kombe lao la FIFA CLUB WORLD CUP QATAR!Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.
Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.
FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.
Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
FIFA Hakuna Karia wala malinzi ..Hawarubuniki😂😂😂😂Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.
Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.
FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.
Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
Mkuu watu wanateseka sana na mafanikio ya LiverpoolVs Villa firminho goal lilipokataliwa na VAR ulikuwa wapi
Vs watford Mane goal lilipokataliwa na VAR ulikiwa wapi
Vs United goli la Man walipopewa ingawa VAR iligoma kusema kuwa walifanyia madhambi origi kabla ulikuwa wapi
MAPENATI ya VAR wanayopewa MANJESTA YA OLE SENDEKE unayasemaje...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu umepiga itakuwa ya Meru. Kitu ya Meru huwa haimwachi mtu salama . Lazima uje na maushudu kama hayaSisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.
Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.
FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.
Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
Hahaha ashaahiba anaongea ushubwandaUshashiba makande unaongea ushubwada et liver inabebwa uoni hata aibu, na CL walibebwa, pia CWC walibebwa ww utakua ni Nyumbu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app