FIFA iingilie kati Liverpool kubebwa EPL

Kabisa hawa kuku wanabebwa mpaka kero

Mbwa hawa yanalizimisha kutoa gundu la miaka 30 kwa gharama zotee,
Rushwaa. Mpaka var
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
ww Liverpool ule ni uwezo binafs Kwn UEFA, UEFA supercup &CWC nazo walibebw , acha uchoko Ww kw ratiba hiyo hiyo Wang kuwa Wana fungw ungesemaje? wanakandamizw au, ,,,,,,, Liverpool hatari tangia Kipigo Kwa Barcelona FC hawana mpinzani,,,,,,Ila Kama unaumia kula 🍿 🍿🍿 kidog
 
Nakumbuka mechi na Chelsea, Chelsea alipata goli safi tu,ila VAR ikaanza kutafuta kosa,Offside hakuna,wakrudisha nyuma kidogo,aliepiga pasi alikuwa yupo eneo sahihi,wakarudisha tena nyuma zaidi wakuta hakuna kosa,waka rudisha nyuma mara saba zaidi yaani mpira wa kumi kabla ya goli ili kutafuta kosa wakalipata.Kweli ni LIVARPOOL

Waga sina dharau kama watu wengi wanavyonifikiria ila sometimes watu wenye akili kama yako hunifanya nichukie na nione binadam wengi wanauwezo mdogo wa kufikiria au wamejaa matope mengi kichwan instead of Grey matter
Ko unachomaanisha liver akifungwa wasiangalie kosa kabisa waruhusu goli tu imrad limeingia wavuni mwa liver, mtu kama wewe unakuta hajui sheria, haangalii mpira, kakaa kwa mama ntilie akisubiria chai na kusikia matokeo badae akioneshwa picha kuwa mchezaj flan alishika

Na ikumbukwe binadam wenye akili za ovyoovyo wengi huamini kitu kulingana na hisia zao, yani ni total bullsh*t

Wewe huna tofaut na aliesema hii ni handball kwa kuangalia picha bila kuangalia video
097ebcf2-aa15-4b9d-9f32-351fd54d1dc1.jpg

Vijana wengi hamtaendelea kwa kukurupuka kuongea au kufanya vitu bila kufanya uchunguzi
Akili kama zako za kijingakijinga ndo baadae unategemewa uendeleze mkoa,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1310732

Vijana wengi hamtaendelea kwa kukurupuka kuongea au kufanya vitu bila kufanya uchunguzi
Akili kama zako za kijingakijinga ndo baadae unategemewa uendeleze mkoa,

Sent from my iPhone using JamiiForums
Usishangae mkuu Wanaume wa Dar wanapenda kutafuniwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha
Nakumbuka mechi na Chelsea, Chelsea alipata goli safi tu,ila VAR ikaanza kutafuta kosa,Offside hakuna,wakrudisha nyuma kidogo,aliepiga pasi alikuwa yupo eneo sahihi,wakarudisha tena nyuma zaidi wakuta hakuna kosa,waka rudisha nyuma mara saba zaidi yaani mpira wa kumi kabla ya goli ili kutafuta kosa wakalipata.Kweli ni LIVARPOOL

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maelezo utazani uliangalia mpira pekeyako wengine hatujaona
 
Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.

Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.

FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.

Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
sasa wewe si uende CAS upeleke malalamiko yako
 
Sisi die hard soccer fans tunasikitishwa na kinachoendelea sasa hivi Uingereza katika ligi kuu.

Hii timu inabebwa waziwazi. Na inaonekana ni mpango madhubuti uliosukwa vema na kwa makini ili kumuwezesha Liverpool kutwaa kombe ligi kuu.

FIFA Inapaswa kuingilia kati. Ikumbukwe sisi mashabiki wa ligi kuu tunamchango mkubwa sana. Tukisusa kuangalia na kufatilia mapato yao yatashuka.

Kuwe na fairplay ili mechi ziwe na mantiki.
Hauna mchango wowote hata ukisusa
 
Acha wivu wa kike!kama ni VAR ina operate pia dhidi ya liver!goli la kwanza dhidi ya man utd lilikataliwa mane,goli la mane dhid ya watford pia,firminho goli dhid ya aston villa!!
 
Sasa video clip zinabebaje mtu?

Yani video si kila mtu anaona? Au
 
Back
Top Bottom