Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Ili wagundue nini huko hata soka hamlijui yatakuwa matumizi mabaya ya fedha za fifa
Chatle kwa kuwa pale kuna international airport,,pia kuna mbuga ya Serengeti pia ni jirani na mgodi wa tulawaka
Halina mjadala. Kuunga mkono juhudi. Hata FIFA wanajuaUjengwe Chato
hao uganda na kenya na wenyewe watajengewaArusha ili kuongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini pia tutalenga soko la nchi jirani za Kenya Uganda n.k
Tupige soga tu, ila Mukulu kashafikiria kama sio Dodoma basi Chattle, Karia atapewa maelekezo tu.
Tatizo majini ya Uyole kiboko yale.. HahahhaHa!Ha!Ha!Siku Hizi Usafiri Wa Basi Kuja Mbeya Ndo Unakufa Hvoo!Habari Ya Mujini Ni Bombadieee!Tunatua Songwe Then Mbalizi!Kama Hiyo Nazi Vunjieni City Centre Pale Meta Njia Panda Stend Kuu!
Naunga mkono hojaUjengwe Chato