Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, we ni hatari!Kwa Mbeya nitaongezea sifa moja kuu ya kiufundi... Kuna njia panda nzuri ya kuvunjia Nazi.... Nazi ikivunjiwa Njia Panda ya Uyole team pinzani huwa hazitoki...
Isipokuwa mwanza Basi waujenge Arusha ila itakuwa vyema zaidi Kama utajengwa mwanza maana imepakana na mikoa mingi zaidi,pia ni jiji linalokuwa kwa kasi,uamsho wa kimichezo upo wakutosha.. Kanda ya juu hakuna kiwanja chakisasa! Hivyo itakuwa vyema kama kikijengwa.. au Kama vipi kiende dodoma..
Ili wagundue nini huko hata soka hamlijui yatakuwa matumizi mabaya ya fedha za fifaWaujenge Manyara au Singida
Utalii kwa Arusha tayari is there kwa miaka mingi uwanja will add nothing ikizingatiwa kuwa mkoa hauna mashabiki wa kutosha wa soka.Arusha ili kuongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini pia tutalenga soko la nchi jirani za Kenya Uganda n.k
Usitegemee mkuu wa mkoa asiye mwenyeji wa sehemu husika kupigia chapuo hili jambo ni mpaka wanazengo wachangamke ku pressNingekuwa mkuu wa mkoa tayari ningekuwa nimewapaTFF eneo.
Hata mimi ningependa zaidi ujengwe Mbeya kwa sababu nilizozieleza hapo juu na hizi ulizotoa wewe hapa,ikishindikana basi ujengwe Mwanza ndio kuna uhitaji sawa na Mbeya tofauti na hapo ni matumizi mabaya ya ofa ya FifaNaunga mkono home, Mbeya. Dodoma na Chato tayari viko kwenye mpango . Na mwanza wana viwanja viwili vizuri+Gwambina. Tuweke Mbeya, mbali na kuwa na timu nyingi na uwanja mbovu hata timu za Zambia na Malawi zitakuja kuweka kambi.
Hatuwezi kubisha maana mbunge wa huko ambaye ni waziri alisema watajenga uwanja mkubwa huko labda ndio huo maana na kwa pm Ruangwa unajengwa ikizingatiwa kuna tetesi za huko Chato kuwa makao makuu ya mkoa.Nyie semeni mtavyosema,na shaurini mtavyoshauri ila uwanja unaenda kujengwa chato,mtake msitake
huko sio TanzaniaPemba
Kilimanjaro or Arusha.