FIFA waifungie TFF kwa kuingiza siasa kwenye mpira

Kwenye Point no 2 umepigilia msumari wa mwisho kwenye Jeneza...

Ukweli ni kwamba hizi fine ni ndogo mno kwa watenda makosa kujisahihisha..

Hizi faini zinatakiwa ziwe angalao kuanzia Mil 20 mpaka mili 500 kwenda mbele kutokana na ukubwa na kujirudia kwa kosa, na hii itakomesha kabisa tabia sio tu za timu kufanya uhuni... Mara kuchezesha vikosi B, mara kushabikia timu pinzani ili kuzikomoa nyingine,

Bado issues za kishikina na hiyo unayosema utovu wa nidhamu uwanjani..

Ukweli siasa zinaizidi nguvu TFF...

Kuna timu zinafanya makosa makusudi zikijua zitalipa faini na mambo tabaki kama yalivyo.

Rushwa na siasa nyingi kwenye mpira wetu.. vitaua kabisa hizi timu.
 
Tifuatifua ya Karai hiyo.
 
Naomba uniwekee uthibitisho kwenye hoja yako namba tatu juu ya timu ya Yanga kuwazuia simba kufanya mazoezi.
NB; taarifa huru na siyo ile iliyotumwa na uongozi wa simba ya kuhalalisha kitendo cha hovyo cha kususia mchezo muhimu kwenye ligi.
 
Wale mashabiki waliotoka mikoani wakapoteza nauli na muda wao, inabidi walete hesabu Yanga iwalipe kwa kuwa wao ndio waliosababisha hii kadhia.
 
Kwasababu mitopolo hamna international games sasa mnataka kila mtu akose sio?

Mbaaaafffff wahed
 
Kwasababu mitopolo hamna international games sasa mnataka kila mtu akose sio?

Mbaaaafffff wahed
Mkuu, wewe unaona upumbavu wanaofanya TFF ni sahihi? FIFA iwafungie tu ili liwe fundisho kwa wapumbavu wengine kama wao.
 
Wafungiwe UTO kwakuvunja kanuni. Jambo dogotu lakitoto wameifanya Sasa wanailaumu TFF
 
Hivi anayepaswa kufungiwa ni nani? Yanga hawana uwezo wa kuizuia Simba kutumia uwanja, Simba wamekacha mechi, Uongozi wa uwanja, TFF na Simba hilo sakata lao wanawaingizaje Yanga?
TFF na Simba zote zifungiwe au zifutwe kabisa forever.
Tanzania upuuzi umezidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…