MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Shida Sio TFF
Shida ni Viongozi Baadhi ya Serikali Kuwa na Usimba na Uyanga
Wamejawa Kiburi na kujiona wao Ndio Kila kitu.
Kisa tu Ana Uongozi Fulan anafanya Kuagiza Ujinga kwenye Mpira
Wakuu wa mikoa Wajinga wajinga Kutumia Mamlaka Ya ukuu wa mkoa Kwa mapenzi yake ya Club.
Hawa TFF wanatishwa sio Bure