FIFA wakataa ombi la Zelensky la Kuhutubia kabla ya Fainali za Kombe la Dunia ili kuhamasisha Amani

FIFA wakataa ombi la Zelensky la Kuhutubia kabla ya Fainali za Kombe la Dunia ili kuhamasisha Amani

Mpumbavu sana hilo jamaa walahi [emoji35]. Lina uwa watu wake kama kuku!
Amani ianze kwa yeye kupatana na Mwamba Putin au aondoke Ukrain awaachie wana nchi nchi yao maana yeye sio Ukrainian! Bloody fool[emoji35]
Sasa nani MPUMBAVU aliyevamia nchi huru ah anayetetea nchi yake?
 
Zelensiky kukataliwa na FIFA haitamsaidia super pawer wa mchongo kupunguziwa Makali ya kichapo anachotembezewa [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaani we bora hata usingezaliwa hapa duniani we ni hasira ktk hii dunia. Una laana una roho ya kuua, we ni mchawi. Unaleta ushabiki ktkt uhai wa binadamu wenzako? Shetani mkubwa, Zelensky nchi yake imevamiwa raia wake wanauawa kisa Putin ana nguvu ni maonevu. Anatetea uhuru wa nchi yake na watu wake anatokea shetani km wewe unashabikia uovu km huu. Huoni shida kwasababu hakuna ndugu yako anayeuawa umekula umeshiba uko na amani unaandika message km hii. Kweli wengine siyo binadamu ingawa mna sura za binadamu.
mkuu kabla ya kuongea mambo yote hayo unaelewa nn kuhusu mkataba ? tumeingia mkataba unaenda kinyume kwa ubabe wako unategemea nn , kuna majimbo ukrain raia walikua wanauawa kisa tu kwenda kinyume na zele wewe huoni hilo.

je marekani alipovamia iraq bila sababu ulion?
je marekani alipovamia libyauliona ?
palestina huko wanauawa unaona ?
 
Back
Top Bottom