FIFA wakataa ombi la Zelensky la Kuhutubia kabla ya Fainali za Kombe la Dunia ili kuhamasisha Amani

Mpumbavu sana hilo jamaa walahi [emoji35]. Lina uwa watu wake kama kuku!
Amani ianze kwa yeye kupatana na Mwamba Putin au aondoke Ukrain awaachie wana nchi nchi yao maana yeye sio Ukrainian! Bloody fool[emoji35]
Sasa nani MPUMBAVU aliyevamia nchi huru ah anayetetea nchi yake?
 
Zelensiky kukataliwa na FIFA haitamsaidia super pawer wa mchongo kupunguziwa Makali ya kichapo anachotembezewa [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
mkuu kabla ya kuongea mambo yote hayo unaelewa nn kuhusu mkataba ? tumeingia mkataba unaenda kinyume kwa ubabe wako unategemea nn , kuna majimbo ukrain raia walikua wanauawa kisa tu kwenda kinyume na zele wewe huoni hilo.

je marekani alipovamia iraq bila sababu ulion?
je marekani alipovamia libyauliona ?
palestina huko wanauawa unaona ?
 
Na Putin ndiye Shetani mwenyewe.
Ukraine saiv ni kama Jehenam Wananchi wameikimbia ina Giza hakuna umeme wala maji Miji imepigwa vibaya sana Hali mbaya na huyu mjinga anadhani anapata sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…