Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kwa kawaida kabisa, mdhamini au mwandaaji wa mashindano hapaswa kuyoa fedha ambazo zinazidi thamani ya Club.
Simba na yabga sidhani kama zina thamani ya 80bln kila moja.
Kama ni kweli hiyo figurr ndio fifa wanataka kutoa kwa vilab vitakavyoshitiki club bingwa ya dunia, basi migogoto kwa vilabu vya africa haiepukiki.