FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

Kuchomekana na kusagana ni utamaduni wa weupe ndiyo maana unaona wanajaribu kuipenyeza tamaduni hiyo kwa wengine kupitia vile vitu pendwa walivyovigundua.

Ipo siku itatangazwa kuundwa league ya wasenge na kombe kabisa litakuwepo,tungoje tuone.

Ukisema weupe means wahindi, waarabu, wazungu, wachina n.k, huoni kama unakosea kusema hivyo! Hata wazungu sio wote wanajihusisha na ushoga.
 
Wengi wao sikuhizi ni wanachama pia, hapo Egypt kuna Mashoga mengi sanaa...bado Yemen, Qatar n.k

Sina hakika kama hizo nchi kuna mashoga, labda ni wachache sana, kwa huku Afrika au uzunguni ndio wamejaa, bila kusahau israel pia kuna mashoga.
 
Sina hakika kama hizo nchi kuna mashoga, labda ni wachache sana, kwa huku Afrika au uzunguni ndio wamejaa, bila kusahau israel pia kuna mashoga.
Huna uhakika au hujachunguza hilo? Pia wengi wasingeamini kuwa Zanzibar ina mashoga mengi mpaka jeshini...mpaka pale Afande Rama alivyoonesha jinsi ya kukatikia dushe
 
Huna uhakika au hujachunguza hilo? Pia wengi wasingeamini kuwa Zanzibar ina mashoga mengi mpaka jeshini...mpaka pale Afande Rama alivyoonesha jinsi ya kukatikia dushe

Wewe umechunguza lini na ukakuta mashoga wengi kule? Hebu tuambie rafiki
 
Daah sijui kwann wanaume tuliwekewa hili jicho la tatu asee naona limekuwa tatizo sana..
Ilikuwa kuna namna nyingine ya kutoa samadi bhana hata kwa kutapika 🤣🤣😫
Fikiria kuna usemi upo kwamba kila mwanaume ni shoga mana kitendea kazi unacho ni swala la muda tu kama mwali anavyosubiri kupata mume asee 😫😫😫
 
Kuchomekana na kusagana ni utamaduni wa weupe ndiyo maana unaona wanajaribu kuipenyeza tamaduni hiyo kwa wengine kupitia vile vitu pendwa walivyovigundua.

Ipo siku itatangazwa kuundwa league ya wasenge na kombe kabisa litakuwepo,tungoje tuone.
Ntakua refarii wa match ya final, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila kitu siku hizi ni biashara,
Hapo ukute machoko wameilipa FIFA mamilioni ili kutangaziwa rangi zao,

Inasikitisha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko unateseka ukiwa wapiii? Nyie straight uchwara wekeni pesa ili FIFA watoe hiyo profile.

Au apeche aloloo, woiiiiiiiih
 
Kwenye last World Cup Qatar walikataa huo ujinga,wakapiga marufuku hizo rangi za upinde,FIFA wakapiga kelele ila Qatar akasimamia msimamo wake,ikabidi FIFA wawe wapole tu.
Sasa kwan huko Qatar hakuna mashoga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wapoo was kushatooo!!
 
Wanaweza wasilipe hata mia, lakini wao ndio wamecontrol dunia, hakuna wa kushindana nao, wewe linda familia yako hakikisha unalea watoto kimaadili, hao jamaa hawawezekani si kama wengi wanavyowadhania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii nimecheka had tumbo linaumaa.
Watu mnateseka sanaa, hadi hurumaa maskiniiii
 
Hayo marangi rangi sidhani kama yanaweza kumpelekea mtu kuwa QXHDFPLS kama hana elements hizo hata akijichora mwili mzima
Hawa majamaa hawana nguvu kiasi hicho
Wee wadanganye wenzio, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaachwa hivyo.
 
Usichukulie vitu rahisi hizo ni mipango za muda mrefu huwezi kuona madhara yake leo wenzako wanawaza miaka 50 mbele
 
Kuna uhusiano gani kati ya football na LGBT? Mantiki yangu ni kwamba kulikua na umhimu gani FIFA kuweka hizo rangi kwenye masuala ya mpira?
Wapo wadau wa Football ikiwemo wachezaji ni GAYS, ko lazima watambuliwe.

Hutaki meza wembeee, Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…