BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kuchomekana na kusagana ni utamaduni wa weupe ndiyo maana unaona wanajaribu kuipenyeza tamaduni hiyo kwa wengine kupitia vile vitu pendwa walivyovigundua.
Ipo siku itatangazwa kuundwa league ya wasenge na kombe kabisa litakuwepo,tungoje tuone.
Ukisema weupe means wahindi, waarabu, wazungu, wachina n.k, huoni kama unakosea kusema hivyo! Hata wazungu sio wote wanajihusisha na ushoga.