[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weweeeee.Huna uhakika au hujachunguza hilo? Pia wengi wasingeamini kuwa Zanzibar ina mashoga mengi mpaka jeshini...mpaka pale Afande Rama alivyoonesha jinsi ya kukatikia dushe
Tuacheni kushabikia mpira mazee, kushabikia mpira ni kuunga mkono upinde.Haya mambo yametuzidia
Suala sio lini. Taarifa za kuongezeka mashoga huko zinapostiwa mara kwa mara. Habari ya Afande Rama hukuisikia?Wewe umechunguza lini na ukakuta mashoga wengi kule? Hebu tuambie rafiki
Ndio mnavyo ongopeana hapo kijiweni mkishashiba mihogo na maji? Achana na Qatar je umewahi kutoka hapo Kijijini ulipo na ukafika japo Nzega?Sasa kwan huko Qatar hakuna mashoga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wapoo was kushatooo!!
Kuna uhusiano gani kati ya football na LGBT? Mantiki yangu ni kwamba kulikua na umhimu gani FIFA kuweka hizo rangi kwenye masuala ya mpira?
😂 shida za nini mkuu wakati ata akikaa chini mambo yanaendaMwamba kaona isiwe shida kakaa chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii nimecheka had tumbo linaumaa.
Watu mnateseka sanaa, hadi hurumaa maskiniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashoga wawepo Simiyu na katoro, ndo wasiwe Nzega? Tena hapo Nzega yuko dereva wa bus analiwa na kula.Ndio mnavyo ongopeana hapo kijiweni mkishashiba mihogo na maji? Achana na Qatar je umewahi kutoka hapo Kijijini ulipo na ukafika japo Nzega?
Comment iliyojaa maumivu makali mnoo, poleeeeDah natamani kukuelewa point yako nashindwa je wewe ni LGBT supporter..
Anyway kama ndie basi mmefanikiwa kuwaogopesha watu kuishi maisha kikawaida..
Ila all in all.. kwangu mie sita mhukumu mtu kwa vitu ambavyo 30 years ago vilikuwa vina maana tofauti za asili.. kama akileta tabia zake za kishoga kwangu tutagombana ila siwez kumkwepa mtu au kugombana nae kisa amevaa nguo ina rainbow hapana.. but i
Will be cautious ....
Zinapostiwa na nani! Nawe ukaamini wanaopost mitandaoni!Suala sio lini. Taarifa za kuongezeka mashoga huko zinapostiwa mara kwa mara. Habari ya Afande Rama hukuisikia?
mweeKuchomekana na kusagana ni utamaduni wa weupe ndiyo maana unaona wanajaribu kuipenyeza tamaduni hiyo kwa wengine kupitia vile vitu pendwa walivyovigundua.
Ipo siku itatangazwa kuundwa league ya wasenge na kombe kabisa litakuwepo,tungoje tuone.
Angalia hizi App kwenye simu yako zina mchanganyiko wa hizo rangi; Chrome; Drive; Files; Photos; Gmail; Google; Maps; Play store; Lens; Calender nk..Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
View attachment 3012209
Mambo yasha kua mengiAngalia hizi App kwenye simu yako zina mchanganyiko wa hizo rangi; Chrome; Drive; Files; Photos; Gmail; Google; Maps; Play store; Lens; Calender nk..
Vile vile tazama vitambaa vya makepteni kwenye ligi ya Uingereza.
Sana lo
Unanuka maviSasa Barca wanakujua wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachekeshaaa eti.