FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

Huna uhakika au hujachunguza hilo? Pia wengi wasingeamini kuwa Zanzibar ina mashoga mengi mpaka jeshini...mpaka pale Afande Rama alivyoonesha jinsi ya kukatikia dushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weweeeee.
 
Nimemkumbuka ndg yangu ,yeye akienda kutafuta maisha US mimi nikazamia afrika ,wakati tunapiga stories

Akaniambia hivi ,popote ulipo fatilia hili

"TWO things are infinite:the universe and human stupidity;and am not sure about the universe

Mungu ,amrehemu kaka yangu wa pili kuzaliwa
My sibling ALBERT EINSTEIN
 
Sasa kwan huko Qatar hakuna mashoga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wapoo was kushatooo!!
Ndio mnavyo ongopeana hapo kijiweni mkishashiba mihogo na maji? Achana na Qatar je umewahi kutoka hapo Kijijini ulipo na ukafika japo Nzega?
 
Kuna uhusiano gani kati ya football na LGBT? Mantiki yangu ni kwamba kulikua na umhimu gani FIFA kuweka hizo rangi kwenye masuala ya mpira?

Bro inaweza kuwa kweli FiFa wanataka ku promote mambo ya kishoga.. ila sio kila vita inahitaj kulunja ngumi au kunyanyua silaha..

Point yangu ni kuwa kuweza kuwashinda LGBT na propoaganda zao ni kuhakikisha hawa hijack vile vitu ambavyo zaman vilikuwa vinawakilisha vitu vya kawaida au au vitu ambavyo katika maisha yetu ya kawaida tunatumia..

Maana yake tukikubali kuwakabidhi rangi au staili flan ya maisha basi wataendelea ku claim
Na vingine vingi.. wao anapigana vita psychological sie tunataka kurespond physicaly kwa ku avoid vile vitu wanafanya wao ambayo kimsingi ni sehemu ya maisha ya kila siku

Ndo maana nikasema vip wakitangaza kuwa wali maharage ni chakula kikuu cha mashoga na wakakipa siku ya kukiadhimisha Mtaacha kula wali Maharage

Tulipokuqa watoto tulikuwa tunahusisha rainbow Colors na the actual rainbow ambayo ni reflection of light .. ila Sasa hv ni dhambi kuwa na kitu chenye upinde.. maana yake tunawanyima Watoto haki yao ya kuijua nature
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii nimecheka had tumbo linaumaa.
Watu mnateseka sanaa, hadi hurumaa maskiniiii

Dah natamani kukuelewa point yako nashindwa je wewe ni LGBT supporter..

Anyway kama ndie basi mmefanikiwa kuwaogopesha watu kuishi maisha kikawaida..

Ila all in all.. kwangu mie sita mhukumu mtu kwa vitu ambavyo 30 years ago vilikuwa vina maana tofauti za asili.. kama akileta tabia zake za kishoga kwangu tutagombana ila siwez kumkwepa mtu au kugombana nae kisa amevaa nguo ina rainbow hapana.. but i
Will be cautious ....
 
Ndio mnavyo ongopeana hapo kijiweni mkishashiba mihogo na maji? Achana na Qatar je umewahi kutoka hapo Kijijini ulipo na ukafika japo Nzega?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashoga wawepo Simiyu na katoro, ndo wasiwe Nzega? Tena hapo Nzega yuko dereva wa bus analiwa na kula.

Nkupe connection nae?
 
Dah natamani kukuelewa point yako nashindwa je wewe ni LGBT supporter..

Anyway kama ndie basi mmefanikiwa kuwaogopesha watu kuishi maisha kikawaida..

Ila all in all.. kwangu mie sita mhukumu mtu kwa vitu ambavyo 30 years ago vilikuwa vina maana tofauti za asili.. kama akileta tabia zake za kishoga kwangu tutagombana ila siwez kumkwepa mtu au kugombana nae kisa amevaa nguo ina rainbow hapana.. but i
Will be cautious ....
Comment iliyojaa maumivu makali mnoo, poleeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.

View attachment 3012209
Angalia hizi App kwenye simu yako zina mchanganyiko wa hizo rangi; Chrome; Drive; Files; Photos; Gmail; Google; Maps; Play store; Lens; Calender nk..
Vile vile tazama vitambaa vya makepteni kwenye ligi ya Uingereza.
 
Mambo yasha kua mengi
 
Hadi Google wana support huu ufirauni check nmeingia playstore ku update apps nakutana na hili tangazo

Screenshot_20240612-134915.jpg
 
Imani za kijinga tu, kwani hizo rangi zitawezaje kumfanya mtu asiye kuwa shoga awe bwabwa
 
Back
Top Bottom