Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

Ya kipuuzi kivipi wakati kama miaka mitatu mfululizo timu zao zinacheza both Europa na CL finals??
 
epl hata mechi ya everton na spurs tamu,kuna mechi nying tam kuliko la liga ambako el clasico tu ndo nzuri
Mara ya mwisho timu inayoshiriki Europa kutoka England kuchukua hilo kombe ilikuwa lini??
 

Mkuu kama vitu huvijui Bora kunyamaza kuliko kupotosha mambo kwa hisia zao. Wachezaji waliokuwa kwenye FIFPRO IX pamoja na Puska Goal award ni matokeo yalipatikana kwa kura zilizopigwa na mashabiki wa soka ulimwenguni. Swali je wewe ulipiga kura? Au umekaa tu kulaumu FIFA na UEFA kwasababu Kompany hayumo? Acha upotoshaji ndugu.
 
Kwahiyo logic yako ni kwamba EPL hawanyanyui UEFA Cup kwasababu wanaonewa? Teh teh teh embu taja timu ya uingereza kwa sasa unayoiona wewe inastahili kubeba UEFA cup
 
Wote tunatizama mpira uwanjani, tunaona kabisa watu wanazidiwa kwa kila nyanja, usilete excuse ndugu
 
Hizi ni tuzo za FIFA so wanaweza kubadilisha utaratibu wa kuchagua hao wachezaji,siku hizi hicho kikosi hakireflect na viwango ambavyo vimeonyeshwa na hao wachezaji wengi wanachaguliwa kwa reputation yao huko nyuma.Mwaka 2015 Alaba,Boateng,Godin,KDB,Chielini,Vidal,Basquet,Verrati ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vizuri lakini hawapo kwenye hicho kikosi
 

May be I can agree with you, lakini sikubaliani na mkuu pale juu kwamba FIFA na UEFA wanachuki na EPL ndio maana wachezaji wa kutoka kule hawamo kwenye tuzo. Kama ulimsikia Rio Ferdinand juzi aliongea ukweli mtu. Kasema EPL ya siku hizi ni tofauti na ya zamani kwasababu imejaa full of mediocre players.
 
baada ya scandal za fifa bado unawaamin?hivi messi alistahik tuzo mwaka 2010 kuliko iniesta?2009 kuliko muholanzi wa inter alieenda uturuk?..hata yeye mwenyewe alishangaa kupewa tuzo,hivi tuzo ya kombe la dunia aliyopewa messi 2014 alistahik?bayern na juve hakuna wachezaj wa maana kuliko modric,ramos,alves,marcelo? Hizo kura ulizihakik ukaona wametenda haki?..mwaka 2008 chelsea na man walcheza fainal uefa,2009 muelekeo ukawa huo,platin akadai asingependa fainal ijirudie,kilchotokea katika mech ya chelse na barcelona hakiakisi maneno ya platin?
 
ukitoa messi,ronaldo,neymar kuna wachezaj gan wa ajabu la liga?
 
Kwahiyo logic yako ni kwamba EPL hawanyanyui UEFA Cup kwasababu wanaonewa? Teh teh teh embu taja timu ya uingereza kwa sasa unayoiona wewe inastahili kubeba UEFA cup
ongeza ufaham wako kwanza,inaelekea we ni mzito kuelewa
 
mwenzako nimemwambia atofautishe kati ya ligi na timu,na wewe ungefanya hvo usingeulza hili swali
 
Ligi ya kipuuzi imetoa mabingwa wawili uefa mfululizo na Mwaka huu wananabeba tena LA LIGA baba lao
tofautisha uzuri wa ligi na uzuri wa timu.ligi ya hispania haisisimui ni ya timu mbili na inajulikana kbisa bingwa ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…