Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 4,319
- 7,485
Kabla ya Eng. Hasi Yanga wenyewe si wamekua wakijinasibu kama wamepigani uhuru wa tanganyika thus ni wana SIasaEngineer Hersy anapaswa kuwajibika, alitaka kuitumia club kama daraja la kuvukia kwenda kwenye siasa jambo ambalo ndio lengo lake.