M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Better late than never.Wamechelewa kuchukua hatua lakini bado muda upo
Better late than never.Wamechelewa kuchukua hatua lakini bado muda upo
Ndo maana wengi wanavaa za kijaniHuo upumbavu ndio umenifanya nisinunue jezi nyeusi. Usingekuwepo ule mwenge jezi nyeusi ya yanga ingevutia wengi sana
Hiloooo......Mbumbumbu fc tulizeni mshono, FIFA haifanyikazi na Vyama vya Siasa.
FIFA wanafanyakazi na FA za Nchi husika na vilabu kupitia FA za Nchi husika
Zaidi ya hapo ni FIFA ya Buza.
FIFA kudaiwa si ajabu watamlipa.Kwa mujibu wa chanzo, Shirikisho la soka duniani FIFA limeitaka klabu ya Yanga inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara kujieleza juu ya tuhuma za kushiriki Siasa kwa kukichangia pesa za uchaguzi chama cha mapinduzi CCM mwaka huu 2025.
Tamko hili la FIFA kwenda kwa Yanga ni matokeo ya malalamiko ya Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa FIFA, ambapo waliomba FIFA kuichukulia hatua Yanga kwa kitendo hicho, huku CHADEMA wakiahidi kutoa ushirikiano kwa FIFA watakapohitaji ushahidi.
Zaidi soma
Eti watu kama nyie ndio taifa linawategemea kwenye mikataba ya kimataifa, kutunga sheria na kusimamia haki nchini.Swali kwanini FIFA wanaruhusu wachezaji kujihusisha na mambo ya kijamii mfano Mbwana Samatta amejenga msikiti
Nafahamu pia kwamba Chama cha siasa nacho kinaruhusiwa kumiliki timu ya mpira ila wanasiasa hawatakiwi kuingilia mpira. Vivyo hivyo viongozi wa FIFA ama CAF wanaruhusuwa kumiliki timu za mpira
Ufafanuzi wa mfano hai
FIFA inaruhusu mkojo wa mchezaji utoke mwilini mwake lakini hawaruhusu urudi mwilini mwake
Kwa wale ambao ni wagumu kuelewa ni kwamba hakuna kosa kwa yanga kujihusisha na mambo ya kijamii
Am not closed minded.Eti watu kama nyie ndio taifa linawategemea kwenye mikataba ya kimataifa, kutunga sheria na kusimamia haki nchini.
Msomali na busara wapi na wapiHersi anakosea sana kuchanganya timu na siasa
DuuhAm not closed minded.
Mimi siyo nyumbu kama wewe anaye ahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
Nyumbu wa kisiasa ni binadamu anaye pewa dhamana lakini huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data
Lugha imenyooka ila uwezo wa kufikiri wa huyu mnyooshaji wa lugha sasa!Chadema ni chama cha siasa, nani kakiruhusu kujihusisha na mambo ya soka?
Chadema wanalalamika yanga kujihusisha na siasa, mbona wao wanajihusisha na Yanga?
Kumbe alitaka Eng. arudie tena ili FIFA isikie vizuri. 😂🤣MC alijifanya kama hajaskia vizuri
hu na aki li😅💔Akiwa anamnyonya k mkewe ni yanga inakua inamnyonya!?