FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

Utopolo kwenye post kama hii huwaoni.Kwenye majungu na uzushi ndio zao.
Msomali na "Mwanasheria" novice wanawala haswa.
 
Yanga SC ni club ya mambuzi na vibwengo mdundiko Kila mwaka wamejaa ushamba kwenye mikataba
 
Reactions: Tui
Timu la ovyo badala ya kulipa wachezaji linatumia fedha hizo kununua mechi!
 
Reactions: Tui
Hata watoe miezi miwili huu sio muda wetu wa kulipa.tutamlipa WAKATI wa dirisha la usajili.
 
Hili timu Kila mwaka lazima lipekwe FIFA Kwa madeni na ni tangu zamani hata kabla ya Hersi ni hivi hivi.Linaaibisha Sana ligi yeti.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…