Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Akina Mwajuma Chukua yote wa mtaani kwako wamekushinda, kombe la dunia utalipata wapi?Mi ningelimwagia na S ha Hawa kabisa
Oi, kumbe upo rafiki?
Niliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..
Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]
Jamaa katimiza lengo lake kimasihara hahawatajijua na laana zao...kaishalishika sasa...fifa hovyo kabisa!
Acha basiNiliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..
Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]
ivi ni kama bei gani kwa pesa za tz nyama zakeLazima wamachukie kwa sababu bei zake za nyama kubwa sn kwenye Restaurant zake sasa watu tuna tamani kula nyama zake lkn bei ndio kikwazo lazima ni kuchukie unauza nyama kama unauzia watu sijui kitu gani .
Bora ameshika nasi tumfahamu
Una hela ya kulipia nyamaBora ameshika nasi tumfahamu
Tupe source ya hii habariKwenye kombe la dunia kuna sanamu (ancient god ).
Yule mungu ndiye huamua nani awe mshindi mwaka husika.
Yule mungu ndiye hutoa nguvu za kushinda kwenye chaguzi za kisiasa, jackpot kubwa za mamilioni n.k.
Hivi umewahi kujiuliza hawa FIFA wanatoa wapi ma trillions ya kufanya mambo makubwa duniani?
Ninafuga mifugo mingi sana, nina ranch kabisa🤣Una hela ya kulipia nyama
...ni mambo ya kipuuzi ya kibaguzi!Limbukeni wa Maisha Hao...