FIFA yalaani mchoma nyama kulishika kombe la dunia

FIFA yalaani mchoma nyama kulishika kombe la dunia

Kwenye kombe la dunia kuna sanamu (ancient god ).
Yule mungu ndiye huamua nani awe mshindi mwaka husika.
Yule mungu ndiye hutoa nguvu za kushinda kwenye chaguzi za kisiasa, jackpot kubwa za mamilioni n.k.
Hivi umewahi kujiuliza hawa FIFA wanatoa wapi ma trillions ya kufanya mambo makubwa duniani?
 
Elon Musk hakutaka kupiga nalo picha maana alikuwa uwanjani
 
Niliona Clip yake moja...
Anangangania kupiga picha na Messi, Messi ni kama hataki ila yeye anangangana hatari..

Kombe lenyewe alikuwa analishika kihuni kihuni tu[emoji2]

Alipiga kichwa kisha anamwagilia kama anavyofanya kwenye nyama alitakiwa apige nalo kwa adabu angalau labda wasingesema
 
Lazima wamachukie kwa sababu bei zake za nyama kubwa sn kwenye Restaurant zake sasa watu tuna tamani kula nyama zake lkn bei ndio kikwazo lazima ni kuchukie unauza nyama kama unauzia watu sijui kitu gani .
ivi ni kama bei gani kwa pesa za tz nyama zake
 
Mwamba
Screenshot_2022-12-21-18-15-53-182_com.instagram.android.jpg
 
Kwenye kombe la dunia kuna sanamu (ancient god ).
Yule mungu ndiye huamua nani awe mshindi mwaka husika.
Yule mungu ndiye hutoa nguvu za kushinda kwenye chaguzi za kisiasa, jackpot kubwa za mamilioni n.k.
Hivi umewahi kujiuliza hawa FIFA wanatoa wapi ma trillions ya kufanya mambo makubwa duniani?
Tupe source ya hii habari
 
Kumbe Lile aliloshika mama Samia Ni Kanyanga plus++
 
Back
Top Bottom