Wambura namfananisha na Giwa na maalim seif anajipotezea muda tu - JamiiForums
Ndugu Michael Richard Wambura nilimshauri sana humu Jamii forum kuhusiana na maamuzi yake ya kupeleka kesi za mpira kwenye mahakama za kiraia wakati kuna mahakama za mpira na football associations ni independent organs zinazosimamiwa na FIFA.
nilitoa nyuzi kibao kukemea na kutoa vifungu vya sheria za fifa zinazokataza na kutoa mifano kedekede za viongozi wa chama za soka waliopeleka kesi mahakamani na kufungiwa na hata kuhatarisha mataifa yao kufungiwa na kuwekewa vikwazo.
pasi na shaka Wambura alikuwa kirusi na kutojitambua kwake kumempelekea afungiwe maisha na FIFA
Wambura nakushauri nenda tena mahakama ya kisutu watengue adhabu ya FIFA [emoji23][emoji23]
badala uende CAS kukata rufaa eti unakimbilia kisutu..watu kama hawa wasiojua sheria za mpira haki yao kupewa rungu na FIFA
Sent using
Jamii Forums mobile app