FIFA yamfungia maisha Michael Wambura kujishughulisha na masuala ya mpira wa miguu duniani

daa ni kweli mkuu ila figisu zilianzia TFF.

Inawezekana mkuu,na nafikiri TFF walimchongea kwa FIFA baada ya kupeleka mambo ya soka mahakamani kesi iliyopelekea yeye kushinda ma kurudishwa TFF kwa amri ya mahakama.

Inawezekana hapa alijipalilia makaa ya moto tena.
 
Wambura hana ushirikiano mzuri na viongozi wenzake wa mpira wa miguu.
Anajiona MuchKnow sana.
Ndio kwamba inatokea viongozi wenzake wa mpira hawamtaki.
Hakuna binadamu aliyekamilia, ila ktk masuala ya mpira,
Wambura anajiona amekamilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mkuu,na nafikiri TFF walimchongea kwa FIFA baada ya kupeleka mambo ya soka mahakamani kesi iliyopelekea yeye kushinda ma kurudishwa TFF kwa amri ya mahakama.

Inawezekana hapa alijipalilia makaa ya moto tena.
Ndo maana tifuatifua hawataki kuonyesha hukumu maana inawezekana walipeleka kesi mpya badala ya ile ya zamani
 
Tangu Karia na genge lake wameigia madarakani wao ni kufungia fungia tu watu sioni mìkakati ya kukuza soccer
 
Mpira wa Tanzania hauendelei kwa kuwa ,tunashindana kufukuzana TFF badala ya kushirikiana kujenga,kukuza mpira wa Tanzania.Karia anafikiri kumfukuza Wambura hatakaa salama?Hakuna ,na yeye naamin ,ataondoka tu.
.....
Tunatakiwa tusaidiane kuijenga.Lakin ,uroho wa maslahi,unasababisha ,tujenge majungu na tumfukuze huyu na huyu.Je soka itaendelea lini?Mdhamin wa ligi hakuna,ratiba ya ligi haieleweki.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kifupi bongo hatutakaa tuendelee kwa lolote kamavtaifa, Hata Wambura mwenyewe ni king'ang'anizi kama kupe, hajawahi kuutakia mema mpira wa bongo zaidi ya kutetea tumbo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini asipeleke CAS?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu uliotumika kumfungia ulikiuka sheria za nchi, sio sheria za FIFA. TFF walitoa hukumu ya makosa ambayo alituhumiwa nayo wambura ambayo ni ya jinai, FIFA haisikilizi makosa ya jinai bali mahakama za nchi husika.

Wambura alienda kupiga TFF kujipa mamlaka za kimahakama za nchi kuamua criminal case wakati hawana huo uwezo na hiyo ndio ikapelekea hukumu yao dhidi yake.

Lazima uelewe mwisho wa siku hakuna sheria zozote za taasisi yoyote ambazo zinaweza kua juu ya sheria au katiba ya nchi, hvyo hizo sheria ikitokea zikapingana na katiba ya nchi sheria inayofuatwa ni sheria ya nchi na sio sheria za FIFA.

Bado wambura ataendelea kua makamo wa rais hadi muda wake uishe.

Kilichofanywa na TFF ni kupeleka hukumu hewa ya TFF kwa FIFA dhidi ya Wambura maana tayari hiyo hukumu yao ilishatenguliwa na mahakama ya ndani ya nchi kua haikua na msingi wowote na TFF hawana mamlaka za kusikiliza wala kuamua criminal cases. Sasa wao watuambie FIFA wamebariki hukumu ipi, hii ambayo ilishatenguliwa na mahakama au nyingine mpya? Kama ni mpya Wambura anaijua? Kama ni ya zamani FIFA watabariki maamuzi hewa?

Kama ni hukumu yao ya zamani maana yake TFF wamedharau maamuzi ya mahakama kuu ya Tanzania ambayo ilifuta hiyo hukumu na kusema haina mashiko na wakaamua kuipeleka FIFA.

Wao TFF kama hawamtaki Wambura wangesubiri muda wake ufike au wangefuata taratibu zinazoeleweka na sio ujanja ujanja na fitna zisizo na mashiko.

Wambura bado ni makamo wa Rais wa TFF. Karia na genge lake la wahuni watafte namna nyingine.

Pale TFF watu hawawazi kuhusu mpira, wanawaza matumbo yao tu.
 
Mlet Uzi Jidhirishe Kwanza, Wambura Hakupeleka Mpira Mahakamani Bali alichoendea Mahakamani Ni Utaratibu Uliotumika Na Kamati Kumfungia Yeye Maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika nini sasa? Mwisho wa siku alikwenda mahakama ya kiraia, ambalo ni kosa, alitakiwa kwenda kwenye chombo cha husika kukata rufaa kwenye maswala ya mpira.
 
Inawezekana mkuu,na nafikiri TFF walimchongea kwa FIFA baada ya kupeleka mambo ya soka mahakamani kesi iliyopelekea yeye kushinda ma kurudishwa TFF kwa amri ya mahakama.

Inawezekana hapa alijipalilia makaa ya moto tena.
Kimsingi Wambura Alichukua Uamuzi wa kufungua kesi Mahakamani Kuu kupinga utaratibu uliotumika kumfungia kwa Maana ulikuwa batili na haukufuata matakwa ya kisheria, kanuni na Katiba ya Tff.
.....
Sheria za nchi hazitambui kama FIFA hairuhusu masuala ya mpira kupelekwa Mahakamani.
.......
Na Pia FIFA kuna masuala yanayoweza kupelekwa Mahakamani na mengine hayapelekwi. Haiwezekani kwa mfano mtu kaiba halafu unasema FIFA hairuhusu kwenda Mahakamani, sio kweli.
.......
Kwa Mfano Mahakama Kuu nchini Kenya iliwahi Kutengua uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Kenya (FKF) wa kumfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho hilo, Sam Nyamweya.
.....
Tusidanganyane Kwenye Mambo Ya Msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very Very Strong Argument... Much Of Obliged

Back
Top Bottom