FIFA yatuhumiwa kwa kumuwezesha Messi kushinda tuzo ya shirikisho hilo

FIFA yatuhumiwa kwa kumuwezesha Messi kushinda tuzo ya shirikisho hilo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA imekumbwa na shutuma nzito juu ya kura zilizomchagua Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kushinda tuzo hiyo ikidaiwa kura zilikuwa za uongo

Katika hatua nyingine Bodi inayoratibu tuzo hizo imesema kura za Nchi ya Misri hazikuhesabiwa kwasababu saini zilikuwa zimeandikwa kwa herufi kubwa

FIFA imeeleza hayo baada ya Chama cha Soka cha Misri kutaka kujua ni kwanini kura ya Kocha wa timu yao ya Taifa, Shawki Ghareeb na nahodha Ahmed hazikuhesabiwa

Aidha, Kocha wa timu ya Sudan, Zdravko Logarusic na nahodha wa Nicaragua, Juan Barrera wamedai kupitia Mitandao ya Kijamii kuwa kura zao zilizoeneshwa na FIFA hadharani hazikuakisi machaguo yao

Lugarisic amedai kuwa chaguo lake la kwanza lilikuwa Mshambuliaji wa Misri, Mohammed Salah lakini FIFA imeonesha chaguo lake ni Messi huku Barrera naye akidai kutompigia kura Messi kama FIFA ilivyodai

=====

Messi.jpg

FIFA's prestigious The Best awards have been struck by a vote rigging storm amid claims indicating the ballot was rigged — with the governing body suggesting Egypt's votes were left out after the signatures were written in capital letters.

Lionel Messi walked away with the best men's player accolade at the glitzy ceremony in Milan on Monday, pipping Cristiano Ronaldo and Virgil van Dijk to the award.

VVD.jpg

Given Van Dijk's remarkable season at Liverpool, where he led the club to their sixth Champions League title, and Ronaldo's excellent campaign at Juventus - Messi's winning award was met with a degree of surprise.

There was also a belief that Mohamed Salah would be a strong contender for the prize.

And now the Barcelona superstar's claim to the honour has been thrown into serious doubt following questions over the legitimacy of the voting.

The Egyptian football association, Sudan's coach Zdravko Logarusic and Nicaragua's captain Juan Barrera have raised concerns over the authenticity of the ballots - citing uncounted or misallocated votes.

Egypt's association called on FIFA to explain why the votes of its national coach Shawki Ghareeb and captain Ahmed were not taken into account. Ghareeb and El-Mohammadi are not mentioned in FIFA's publication of official votes.

MO.jpg

FIFA have now indicated that they were not included because signatures on Egypt's ballots 'were in capital letters and thus seemed not valid (not authentic).'

They added that 'voting forms were also not signed by the (federation) general secretary which is mandatory.'

The Egyptian Football Federation claim they officially sent Egypt's vote to FIFA on August 15, four days before the deadline.

Their statement had earlier asked 'FIFA why the Egyptian vote was not accepted' and goes on to confirm the EFA have opened an 'investigation' into the circumstances of this failure.

The Egyptian federation was in turmoil in July and August after its leadership resigned due to the national team's Round of 16 exit at the African Cup of Nations it hosted.

Later in August, FIFA sent an emergency management team to run the Egypt federation.

Additionally, Sudan's coach Lugarisic and Nicaragua's Juan Barrera took to social media to indicate that the votes published by FIFA, in their names, did not reflect their actual choices.

Lugarisic says his first choice was Egypt's Salah but FIFA's voting document showed Messi as his first selection.

Barrera is also adamant that he did not vote for Messi, as claimed by FIFA.

'I did not vote for Messi. I was surprised to be on the list of captains who voted for Messi and there is no explanation how it appeared there,' Barrera is reported to have said.

FIFA determines the best players based on the votes of national team coaches, captains as well as a journalist from each country.

The votes are then made public for transparency. However, the voting system has been called into serious doubt following the alleged discrepancies.

CR 7.jpg
 
*Huyo Andunje hata 2010 hakustahili kabisa tuzo akahujumiwa Iniesta.

*Tena 2015/2018 Andunje alituhumiwa kupewa zawadi asiyostahili ya mchezaji bora wa Copa America kupitia MARADONA.

FIFA INA HUJUMA SANA.
 
Tatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...
 
Tatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...
Messi ni mchezaji Bora wa viti maalumu period.
 
Tatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...
Kwani fifa wameweka vigezo vya kumpata mchezaji bora kwa kuangalia takwimu au wanatumia kura za makocha na makapteni?
 
Mimi mwenyewe sikumpigia halafu wakaonyesha nilimpigia, hata kura zetu mashabiki zilichezewa!!
Hawa ccm wapo hadi huko...
 
Tatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...
Tatizo la hizi tuzo kila mtu ana uono wake na mapenzi yake kwa kila mchezaji.

Hapa najiuliza ilikuwaje Van Djik anachukua mchezaji bora wa bara la ulaya (na messi akiwemo kwenye hilo bara) halafu anakosa mchezaji bora wa dunia? au ni individual statistics zipi (nje ya bara la ulaya) zilizompa messi huo ubingwa wa dunia?

Au kati ya hao watatu kwa msimu ulioisha kwenye upande wa individual statistics kuna ambaye kamzidi Allison Becker? (golikipa wa Liverpool/Brazil).

Hizi tuzo za yupi ni mchezaji bora zina changamoto sana, sababu kila anaewania hiyo tuzo unakuta anacheza nafasi tofauti na mwenzake.

Kwa maoni yangu wote wanadeserve tuzo sema kura tu (zinazotokana na maoni na mapenzi binafsi ya mtu) ndio zinaamua mmoja wa kupewa.
 
Messi ni victim of his own success, amechukua La Liga, Magoli 51 na Assists 19 ndani ya mwaka mmoja lakini bado anauliza huyo Messi kafanya nini kisa tu ni Messi na ni kawaida yake ndio maana hawaoni kitu ila angekua mchezaji mwengine ingekua ni nyimbo na mapambio.
 
Back
Top Bottom