DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Kwani fifa wameweka vigezo vya kumpata mchezaji bora kwa kuangalia takwimu au wanatumia kura za makocha na makapteni?Tatizo individual statistics zinambeba Messi, tukimwaga hapa statistics za Messi kulinganisha na hao wengine Messi anawatupa mbali vibaya mno, semeni zimwagike hapa category zilizowekwa muone mnaompinga Messi mnavyopotelea shimoni kama panya wameona paka,...