FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

FIFI wa tamthilia ya NYAVU dstv , ni kuku wa kienyeji na utamu wake

Ndio yule fifi alikuwa kwenye matangazo ya magodoro miaka michache nyuma, alikuwa na Mboto?
 
Kujaza manyoya kichwani ndio urembo?
 
Fifi Ana zigo la haja stoni kadata na dada Yake 😂😂😂😂


Maxzitatu
 
Hivi wenzangu huko kwenye "kota" huwa mnafuata nini?
 
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Weka picha ake tumwone[emoji848]

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom