miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
Sema ni mstaarabu sana huyo binti,kuna kipindi nilipanda naye ndege.
Usiamini kila kitu mtandaoni,niamini mimi.
Usiamini kila kitu mtandaoni,niamini mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivo unaweza kuta hajaolewa pamoja na sifa zote.
Weka picha ake tumwone[emoji848]Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu