Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Na weweee...saa 00:15 mid nite ulikuwa unafanyanini hunu badala ya ku mkuna kaka yangu Ruttashobolwa kidevu alale?
We Passion Lady acha hizo zako nitaasema kwa Ruttashobolwa jana ulikuwa wapi mchana
ukiona hivi ujue kaka ako
ananguruma kama sio kukoroma
mfungo unampeleka puta acha kabisa!!
Mpe pole kaka yangu.
Pole na wewe maana najua pafomasi mwezi huu ni below average.
umeona eeeee!!
ila mwezi unaendea ukingoni
mambo yatajipa kama kawaida!!
Msije mkanisahau mwaliko wa BIRIANI...ila kaka yangu sijui biriani aijua?
Au ndo MATOKE kila siku
biriani aijua sana tu
zamani ndio ilikua matoke daily
siku hizi pilau,marost na makila kitu namkaangizia!!
karibu sana hiyo siku ya eid ujionee!!